binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
pwilo najua huwa unajitahidi sana kumsafisha kibakuli, lakini ndio kwanza anazidi kukuumbua mchana kweupee, ulisema kibakuli angalau ni tofauti na wasanii wengine kuwa japo anaisupport ccm lakini yeye akishapiga show hana zile shobo za kumpost mpost mgombea au mambo ya campeini, najua unamfollow insta, na umejionea kwa macho, jana tu katoka kulalamika kuwa anapotezewa, wadau wakamchambaaa weee na wengi walimuambia kujiingiza kwake kwenye siasa ndio kumemponza, umeona alichopost baada ya hapo?? Full ndimu sasa ndio uchague kuzilamba au kutafuta tindikali
Hahahaaa amepost nini baada ya yale malalamiko? Insta kuzuri jamani. Nilikafunga ka account changu ngoja nifanye mishe niifungue.
Last edited by a moderator:


