Tukiwaambia kiba hana fans kama anavyowafikiria bali wengi wa mashabiki zake ni haters wa chibu haaamini. Haya sasa analalamikia nani? Hao mashabiki zake walikuwa wapi kurepost habari ya msanii wao, au macho yalikuwa yamewatoka kwenye event ya Tiffah kutafuta cha kukosoa. Au anafikiri media ni TV na redio pekee.?
Mi Nafikiri hata leo hii Diamond akiamua kufanya event bila support ya TV &radio bado atafanikiwa kwa asilimia nyingi sana hii ni kwasababu mashabiki zake kupitia social networks ni media tosha.
#WCB imejitosheleza. Hii ndio maana ya Msanii kuwa na fanbase kubwa.