Imeniuma: Alikiba aeleza kusikitishwa kwake

Teh teh na atazikosa tuzo mwaka huuu....
Labda nikukumbushe jambo moja ili uachane na hisia za kwamba UKAWA ni Miungu Watu... kwamba, iwe jambo positive au negative, ni wao ndio wenye uwezo wa kusababisha!

Kwanza mwaka jana Diamond alikuwa nominated kwenye tuzo za BET... hakupata! Mwaka huu pia alikuwa nominated kwenye tuzo za BET... pia hakupata! Kwenye MTV Mama 2015, out of 3 or 4 categories, alishinda moja sawa na wenzake! Hivyo basi, ikiwa kwenye tuzo zijazo atakosa, si kwa sababu ya akina nyie bali hilo ni jambo la kawaida!!

ALL THE BEST kwenye upigaji wa ramli!!
 

Sawa mkuuu...
 
Jana kasema hategemia mashabiki wa tanzania ana mashabiki wengi sana Mozambique Malaysia Malawi Ghana so hashoboki na nyinyi wa tz kabisa chige sumbai Paula kilaki

Kwa kuwa hiyo post umeisoma wewe peke yako,una uwezo wa kuiongezea chumvi utakavyo , lakini kwa kuwa sisi mashabiki zake pendwa tunaojua kutofautisha mziki na siasa tuliiona na kuisoma, sasa naomba nikuambie kuwa chumvi yako ime expire haijakolea, team kiba tunawajua bwana kazi yenu kubwa ni kupotosha tuu, alichokisema diamond kwenye mistari mitatu ya awali kinakuhusu wewe na team yako, lakini sisi MASHABIKI ZAKE PENDWA ANATUTAMBUA, na ana appreciate mchango wetu kwa sanaaaaaa, vote vote vote vote for diamond team ushindi (diamond) tuzo zikija team looser (kiba) wapige makofi
 
Last edited by a moderator:
Mnatoka sana povu billa points ila ukweli unajulikana tu kwamba jamaa ana wakati mgumu maisha ya insta msiyachukulie serious
 

Naachaje kukupenda sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…