Imeniuma sana


nashuuru sana kwa ushauri wako ma bro...be blecd.
 

Anataka kusema dini yake hiyo inamruhusu pia kufanya zinaa? Maana hiyo nyumba ndogo hajaioa na kwa kanuni za dini ya kiislam hutakiwi kuoa pasipo idhin/au kumjulisha bi mkubwa!!
 

Akili Kichwani;

Hapo kny blue......ubarikiwe, ni message nzuri sana kwa wanandoa wanaopenda ndoa zao zidumu......! Watu watakubishia hapa tu, bt that's is the fact, wanaume tuliowengi (including me), tunapenda mwanamke akufanyie hivyo! Hatupendi (tulio wengi) kufokewa na mke, tunataka kubembelezwa zaidi.......!
 

he, mama yangu weeeee!!!!!!!!!!!!

kwa hiyo sasa hivi umeishakuwa jeuri siyo???

hujapata kisiki cha mpingo wewe!!!!!!! hata hizo hela zako zisingekusaidia!!!
 
My God, Babra unajua umesikia tu ya upande mmoja hujasikia ya upande wa mwanaume ili kuweza kufanya conclusion. Lakini iwe isiwe...KUMPIGA MKE NI MAKOSA MAKUBWA NA MWIKO....kama amekukera sana, unaweza ukatengana naye kwa muda. Lakini sasa hujui rafikio na mudom kiasi gani, labda hata alimwambia jamaa hata hii mimba si yako kwani nawe mwanaume??????
 


yaani ulikuwa unanikera sana...mpaka nikawa nahic jamaa kamfanya nini dear wangu mbona hana hata say ya kizushi?...ukilivaa pendo utaingia na akili zako timamu kuhusu hawa viumbe.
 
......😀😀
tukiipweee tukipweeeeee tukipweeeeee eeeeh!
TUKIPWEEE MWALI VETUUU TUHELEEE NAVEEEEE
 

thanks mkuu, tusaidiane kufikisha messege hii kwa walengwa.

mj1, babra, camel, bht fl1, pretty nk mpo mpaka hapo????????
 
Kama ulivyosema nanu kupiga hadi kumharibia mimba hapana yaani kwa hilo kwangu amescore sifuri kabisa.

Huyo bwana angekubali kosa hata kama angetukanwa si kakutwa na kosa? ni hasira tu ni mangapi watu tunayaropoka kwa hasira na baadaye tunajuta? Tuseme hata kama kamtusi kuwa we shoga/ au lile neno lingine lile ndo ampige?
 

hilo lenye bold neno mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 


Nanu la upande wa pili ctaweza kulickia mpaka hapo atakapojitokeza mume alietoroka....
 
Nanu la upande wa pili ctaweza kulickia mpaka hapo atakapojitokeza mume alietoroka....

Kile kipima joto Mr. wako iwa anakichungulia? au huwa anasoma sms kwenye phone yako?
 
thanks mkuu, tusaidiane kufikisha messege hii kwa walengwa.

mj1, babra, camel, bht fl1, pretty nk mpo mpaka hapo????????

Mimi nipo sijui wenzangu na bado nasimama nikisema its not fair jueni kuwa hata siye tuna feelings kama ninyi so ikitokea umenifanyia ufirauni utegemee kama binadamu nitachukia na nitakachokifanya kutokana na hasira zangu katu usikichukulie kama kigezo cha kunipiga vinginevyo usinikosee (fanya mambo yako kwa siri huku ukiniheshimu kama mkeo) uone kama hutaionja pepo ukingali duniani. Bali ukinifanyia mbovu kwa kweli kiri nitasamehe.

People am out of here nisijeitwa tamwa bure but kusema ukweli am so sorry for the lady
 
Hehehehe naona kuna jamaa wananyemelea kulivaa pendo hilo unatwangwa na hiki kitu


Hiki ni cha $75,000/= sijui utakataa?
MAM'UUU ANGALILE UMWANAAA HUYOOOOOOOOOOOO...ing'waleeee zdsipala kumahame,...NIGE MUYAWE UANGALILE UMWANAA HUYOO ING'WALEEE DZSIPALA KUMAHAMEEE

ING'WALEEE DZSI PALA KUMAHAMEEE,ING'WALEE DZSIPALA KUMAHAMEEE
 
thanks mkuu, tusaidiane kufikisha messege hii kwa walengwa.

mj1, babra, camel, bht fl1, pretty nk mpo mpaka hapo????????

mie namnyenyekea/namjali na yote ninayopaswa kumfanyia, lakini inapotokea ameteleza cwez kaa kimya, hilo sorry.
 
Kile kipima joto Mr. wako iwa anakichungulia? au huwa anasoma sms kwenye phone yako?

sana sana tu, yaani nikifika home tu tena wakati mwingine unakuta nimeisahau kwenye handbag naendelea na mambo mengine ndio wa kwanza kunikumbusha fone ipo wapi, ikikaa hapo ataichokonoa weeee mpaka bac.
 
mie namnyenyekea/namjali na yote ninayopaswa kumfanyia, lakini inapotokea ameteleza cwez kaa kimya, hilo sorry.

hujaambiwa ukae kimya, inaweza kusema kwa adabu na unyenyekevu, utasikika zaidi kuliko kumshika shati au kuchonga kama radio stereo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…