Imeniuma sana

Imeniuma sana

Sasa ukimuona mume wako kama wanaume wengine hiloni kosa. Maana utamtreat mumeo kama mkosaji au mkosaji mtarajiwa na hiyo ita athiri sana ndoa yako. Maisha ya mwenzio siyo yako kwa hiyo hatasiku moja usiishi na mentality kwamba kilicho mtokea mwenzangu basi yatanikuta na mimi. Wewe jenga tu uimara ya ndoa yako yasije yaka kukuta wewe.Muombe Mungu dada na ata kusaidia. But kusema ukweli I understand how you fell na huyo mume wa rafiki yako kachemsha. On behalf of all man who know they were born by a woman I say I'm sorry. I don't condone his actions one bit.

nashuuru sana kwa ushauri wako ma bro...be blecd.
 
LOVE, LOVE so nice tell me why you hurt so bad!! kwa kweli ndoa sasa hivi ni uwanja wa fujo, mwanamke anapigwa kwa upande wa khanga ati!na si mijiguvu namna hiyoo, kuna jirani yangu ameoa ana mtoto mmoja wa kike, kama mwaka sasa jamaa anaondoka asubuhi nyumbani anarudi saa saba ya usiku daily yaani, keshatengeneza nyumba ndogo na ina mtoto km wa miezi minne sasa, jamaa akirudi usiku wife wake akimuulizia unatoka wapi jamaa si kutembeza kichapo huko, mikelele usiku mzima, anasema yeye ni muislam, so anagawa taraka kwa mke ambaye alimsilimisha na hamtaki tena, TUNAENDA WAPI JAMANI? tamaa za miili yetu zitatufikisha wapi kama si umauti tu? huyo BAZAZI aliyemtwanga mke wake akashtakiwe kabisa hana ruhusa ya kumpiga mwenzi wake namna hiyo tena mpaka kumsababishia miscariage! Kile Kiapo cha siku ile ya NDOA kipo wapi? yale mabusu motomoto ya siku za uchumba mmeyatupa wapi? kweli hizi simu zinaleta mambo.

Anataka kusema dini yake hiyo inamruhusu pia kufanya zinaa? Maana hiyo nyumba ndogo hajaioa na kwa kanuni za dini ya kiislam hutakiwi kuoa pasipo idhin/au kumjulisha bi mkubwa!!
 
unafikiri mwenzio hakufanya hivyo unavyosema? si ndio mnavyodanganyanaga kwenye kicheni pati? alikutana na mwanaume wa shoka ndio maana sasa yuko hospital na mwenzie anapata supu kwa small house.

sina ugomvi na wanawake lakini messege yangu ni kwa wanawake wanapaswa kuwa wanyenyekevu, huo usawa mnaotafuta hadi mnafokea waume zenu ndio unaowaponza na vipigo kama hivyo. jinyenyekeze na ikibidi lia, umlilie, ndio wanaume wanavyotaka, sio ufungulie kiredio chako mkulima umnanga mzee! shame on you women stereos

Akili Kichwani;

Hapo kny blue......ubarikiwe, ni message nzuri sana kwa wanandoa wanaopenda ndoa zao zidumu......! Watu watakubishia hapa tu, bt that's is the fact, wanaume tuliowengi (including me), tunapenda mwanamke akufanyie hivyo! Hatupendi (tulio wengi) kufokewa na mke, tunataka kubembelezwa zaidi.......!
 
Babra unanijua vema nilivyokuwaga mpole, mnyenyekeevu hayo ya kurudi usiku wa manane na kumpikia ugali nimefanya saaana mpaka nilipoona hailipi. Unakumbuka nilipokuwa nakuja nalia lia hapa unatamani kunitandika na fimbo.

Sometimes wao wenyewe wanatufunza ujeuri ati!

he, mama yangu weeeee!!!!!!!!!!!!

kwa hiyo sasa hivi umeishakuwa jeuri siyo???

hujapata kisiki cha mpingo wewe!!!!!!! hata hizo hela zako zisingekusaidia!!!
 
My God, Babra unajua umesikia tu ya upande mmoja hujasikia ya upande wa mwanaume ili kuweza kufanya conclusion. Lakini iwe isiwe...KUMPIGA MKE NI MAKOSA MAKUBWA NA MWIKO....kama amekukera sana, unaweza ukatengana naye kwa muda. Lakini sasa hujui rafikio na mudom kiasi gani, labda hata alimwambia jamaa hata hii mimba si yako kwani nawe mwanaume??????
 
Babra unanijua vema nilivyokuwaga mpole, mnyenyekeevu hayo ya kurudi usiku wa manane na kumpikia ugali nimefanya saaana mpaka nilipoona hailipi. Unakumbuka nilipokuwa nakuja nalia lia hapa unatamani kunitandika na fimbo.

Sometimes wao wenyewe wanatufunza ujeuri ati!

yaani ulikuwa unanikera sana...mpaka nikawa nahic jamaa kamfanya nini dear wangu mbona hana hata say ya kizushi?...ukilivaa pendo utaingia na akili zako timamu kuhusu hawa viumbe.
 
Akili Kichwani;

Hapo kny blue......ubarikiwe, ni message nzuri sana kwa wanandoa wanaopenda ndoa zao zidumu......! Watu watakubishia hapa tu, bt that's is the fact, wanaume tuliowengi (including me), tunapenda mwanamke akufanyie hivyo! Hatupendi (tulio wengi) kufokewa na mke, tunataka kubembelezwa zaidi.......!
......😀😀
tukiipweee tukipweeeeee tukipweeeeee eeeeh!
TUKIPWEEE MWALI VETUUU TUHELEEE NAVEEEEE
 
Akili Kichwani;

Hapo kny blue......ubarikiwe, ni message nzuri sana kwa wanandoa wanaopenda ndoa zao zidumu......! Watu watakubishia hapa tu, bt that's is the fact, wanaume tuliowengi (including me), tunapenda mwanamke akufanyie hivyo! Hatupendi (tulio wengi) kufokewa na mke, tunataka kubembelezwa zaidi.......!

thanks mkuu, tusaidiane kufikisha messege hii kwa walengwa.

mj1, babra, camel, bht fl1, pretty nk mpo mpaka hapo????????
 
My God, Babra unajua umesikia tu ya upande mmoja hujasikia ya upande wa mwanaume ili kuweza kufanya conclusion. Lakini iwe isiwe...KUMPIGA MKE NI MAKOSA MAKUBWA NA MWIKO....kama amekukera sana, unaweza ukatengana naye kwa muda. Lakini sasa hujui rafikio na mudom kiasi gani, labda hata alimwambia jamaa hata hii mimba si yako kwani nawe mwanaume??????
Kama ulivyosema nanu kupiga hadi kumharibia mimba hapana yaani kwa hilo kwangu amescore sifuri kabisa.

Huyo bwana angekubali kosa hata kama angetukanwa si kakutwa na kosa? ni hasira tu ni mangapi watu tunayaropoka kwa hasira na baadaye tunajuta? Tuseme hata kama kamtusi kuwa we shoga/ au lile neno lingine lile ndo ampige?
 
Fidel bwana mbona toka mwaka jana? kwa sasa natibu dondamoyo tu hapa.

Hehehehe naona kuna jamaa wananyemelea kulivaa pendo hilo unatwangwa na hiki kitu
rochelle%20rings.jpg

Hiki ni cha $75,000/= sijui utakataa?
 
My God, Babra unajua umesikia tu ya upande mmoja hujasikia ya upande wa mwanaume ili kuweza kufanya conclusion. Lakini iwe isiwe...KUMPIGA MKE NI MAKOSA MAKUBWA NA MWIKO....kama amekukera sana, unaweza ukatengana naye kwa muda. Lakini sasa hujui rafikio na mudom kiasi gani, labda hata alimwambia jamaa hata hii mimba si yako kwani nawe mwanaume??????

hilo lenye bold neno mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
My God, Babra unajua umesikia tu ya upande mmoja hujasikia ya upande wa mwanaume ili kuweza kufanya conclusion. Lakini iwe isiwe...KUMPIGA MKE NI MAKOSA MAKUBWA NA MWIKO....kama amekukera sana, unaweza ukatengana naye kwa muda. Lakini sasa hujui rafikio na mudom kiasi gani, labda hata alimwambia jamaa hata hii mimba si yako kwani nawe mwanaume??????

Nanu la upande wa pili ctaweza kulickia mpaka hapo atakapojitokeza mume alietoroka....
 
Kile kipima joto Mr. wako iwa anakichungulia? au huwa anasoma sms kwenye phone yako?
 
thanks mkuu, tusaidiane kufikisha messege hii kwa walengwa.

mj1, babra, camel, bht fl1, pretty nk mpo mpaka hapo????????

Mimi nipo sijui wenzangu na bado nasimama nikisema its not fair jueni kuwa hata siye tuna feelings kama ninyi so ikitokea umenifanyia ufirauni utegemee kama binadamu nitachukia na nitakachokifanya kutokana na hasira zangu katu usikichukulie kama kigezo cha kunipiga vinginevyo usinikosee (fanya mambo yako kwa siri huku ukiniheshimu kama mkeo) uone kama hutaionja pepo ukingali duniani. Bali ukinifanyia mbovu kwa kweli kiri nitasamehe.

People am out of here nisijeitwa tamwa bure but kusema ukweli am so sorry for the lady
 
Hehehehe naona kuna jamaa wananyemelea kulivaa pendo hilo unatwangwa na hiki kitu
rochelle%20rings.jpg

Hiki ni cha $75,000/= sijui utakataa?
MAM'UUU ANGALILE UMWANAAA HUYOOOOOOOOOOOO...ing'waleeee zdsipala kumahame,...NIGE MUYAWE UANGALILE UMWANAA HUYOO ING'WALEEE DZSIPALA KUMAHAMEEE

ING'WALEEE DZSI PALA KUMAHAMEEE,ING'WALEE DZSIPALA KUMAHAMEEE
 
thanks mkuu, tusaidiane kufikisha messege hii kwa walengwa.

mj1, babra, camel, bht fl1, pretty nk mpo mpaka hapo????????

mie namnyenyekea/namjali na yote ninayopaswa kumfanyia, lakini inapotokea ameteleza cwez kaa kimya, hilo sorry.
 
Kile kipima joto Mr. wako iwa anakichungulia? au huwa anasoma sms kwenye phone yako?

sana sana tu, yaani nikifika home tu tena wakati mwingine unakuta nimeisahau kwenye handbag naendelea na mambo mengine ndio wa kwanza kunikumbusha fone ipo wapi, ikikaa hapo ataichokonoa weeee mpaka bac.
 
mie namnyenyekea/namjali na yote ninayopaswa kumfanyia, lakini inapotokea ameteleza cwez kaa kimya, hilo sorry.

hujaambiwa ukae kimya, inaweza kusema kwa adabu na unyenyekevu, utasikika zaidi kuliko kumshika shati au kuchonga kama radio stereo
 
Back
Top Bottom