mara hii tunakomaa na jf sio youtube tena[emoji38][emoji38][emoji38].Bwahaha!!wakenya hatukomai na kitu kimoja jomba, kila mahali tupo..
Nyie komaeni na jf tu[emoji23][emoji23]
Wakenya wapo kila mahali mitandaoni[emoji23][emoji23]Maneno ya mkosaji [emoji28][emoji28][emoji28]
Hizo za udaku zinapokea dollars adsense za wazungu na home commercials, ninyi mna kipi cha kupata kutoka kwenye internet? Kuingia pornhub?
kukomaa na kitu kimoja ndio kufanyaje,naona ni mwamvuli wa kukimbia kipigo huu.[emoji23][emoji23]Inamaana hata south afrika pia mumewashinda kw internet penetration[emoji23][emoji23]
Wazee wa kukomalia kitu kimoja km nyumbu, kwn bongo zaidi ya ayo tv kuna kipi cha maana kw mfano
Akili hawana hawa, eti hawajui kama Youtube watu wanapiga pesa, wanatia huruma hata kuwa na arguments nao 😅😅😅Halafu wana ujuaji wa kishamba wa kujikuta wao ndio wanajua kila kitu kumbe ni bonge la vilaza.
Na unaeza kuta hizo zote alizo mention hapo hakuna hata moja anayoifanya zaidi ya kusikia tu.
Nikija kenya na youtube channel yangu nitakuwa top ten ya wenye subscribers wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo huwa hatuandikii mate. View attachment 1648904
Hahahaha wabongo hatupendi stress sababu tumeshavuka kwenye level ya hustling, tupo kwenye level ya refreshments yaani tunataka habari zinazoendana na matumizi yetu ya pesa 😂😂😂Wabongo wana content gani wao niw atu wakusubiria kufanyike kitu ndio watu wapate kitu cha kuongelea..
I think hata wakati wa zari kutua hko basi kila media ni yeye tu[emoji23][emoji23]
Nyie mna nn bana wazee wa kufuata mkumbo km nyumbu tu, bora kufanyike kitu basi hamfikiri zaidi ya kukomalia hapo hapo tu
To make the long short em nipe youtube yenye subscribers wengi zaidi Kenya yote kwanza 🚮🚮🚮🚮Apart from celebrities na content creators, watanzania wangapi wakawaida ndo wenye YouTube channels ambazo zina subscribers more than 1000?......compare that number to Kenyans doing freelance work online.?.......hapo kwa forex trading ata usiguse...ati second after south Africa...hahaa.
There is a reason why global brands like MasterCard,Visa ,PayPal etc have a huge presence in Kenya .
SA hawafikii mziki wa bongo wewe, kwanza SA wenyewe wakifika bongo wanashangaa kuona Tanzania bundles are cheap kuliko SA kwa zaidi ya mara 3Inamaana hata south afrika pia mumewashinda kw internet penetration[emoji23][emoji23]
Wazee wa kukomalia kitu kimoja km nyumbu, kwn bongo zaidi ya ayo tv kuna kipi cha maana kw mfano
nitingisheWacha nitingize tu kichwa na nikuache maanake kubishana na ngiri hakujawai leta matokeo yoyote.
Hahahaha yaani hadi huruma 😅😅😅mara hii tunakomaa na jf sio youtube tena[emoji38][emoji38][emoji38].
ama kweli kifo cha nyani hamna tawi linashikika.
LOL ila nyumbani kupata viewers million 1 mpaka miezi miwili 😂😂😂Wakenya wapo kila mahali mitandaoni[emoji23][emoji23]
Halafu wana ujuaji wa kishamba wa kujikuta wao ndio wanajua kila kitu kumbe ni bonge la vilaza.
Na unaeza kuta hizo zote alizo mention hapo hakuna hata moja anayoifanya zaidi ya kusikia tu.
Nikija kenya na youtube channel yangu nitakuwa top ten ya wenye subscribers wengi
Wabongo huwa hatuandikii mate. View attachment 1648904
😅😅😅😅😅😅😅kukomaa na kitu kimoja ndio kufanyaje,naona ni mwamvuli wa kukimbia kipigo huu.[emoji23][emoji23]
unajua jelusalem ina views ngapi huko youtube,hivi vitu haviongopi bro,kama huna huna tu.kama hapo kenya[emoji38][emoji38]
Eeee kwasababu kila mtu na uamuzi wake youtube aangalie nnLOL ila nyumbani kupata viewers million 1 mpaka miezi miwili [emoji23][emoji23][emoji23]
Toa shukrani sasa kwa mara ya kwanza umelijua hilo leo 😅😅😅AdSense ni kitu ya kawaida bana...hata vijana walio kwenye University ni ma expert kwa hio sector cheki profile zao pale upwork.
Kwani unadhani AdSense Ni ya YouTube pekee yake.😂😂
Hata waingereza pia wakifika south africa wanashangazwa na na urahisi wa vitu vingi mbali mbaliSA hawafikii mziki wa bongo wewe, kwanza SA wenyewe wakifika bongo wanashangaa kuona Tanzania bundles are cheap kuliko SA kwa zaidi ya mara 3
😂😂😂😂😂😂😂 Ila we jamaa banaEeee kwasababu kila mtu na uamuzi wake youtube aangalie nn
Uvivu na ulemavu wa akili ndio umewafikisha hapo[emoji23][emoji23]Hahahaha wabongo hatupendi stress sababu tumeshavuka kwenye level ya hustling, tupo kwenye level ya refreshments yaani tunataka habari zinazoendana na matumizi yetu ya pesa [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wana ujuaji wa kishamba wa kujikuta wao ndio wanajua kila kitu kumbe ni bonge la vilaza.
Na unaeza kuta hizo zote alizo mention hapo hakuna hata moja anayoifanya zaidi ya kusikia tu.
Nikija kenya na youtube channel yangu nitakuwa top ten ya wenye subscribers wengihttps://emoji.tapatalk-cdn.co[QUOTE="Naton Jr, post: 37555767, member: 391231"]
Toa shukrani sasa kwa mara ya kwanza umelijua hilo leo 😅😅😅
[/QUOTE]
m/emoji23.png
Wabongo huwa hatuandikii mate. View attachment 1648904