komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Emu ongeza sauti2013 hiyo, kama ni running water, 80% tu ya Nairobi haina hata walking water achilia mbali running [emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emu ongeza sauti2013 hiyo, kama ni running water, 80% tu ya Nairobi haina hata walking water achilia mbali running [emoji28][emoji28]
Acha kujaribu kumrembesha ngiri kwa kumpaka mafuta na lipstick. Wanasema kwamba waajiri wa Tz wanatumia 'word of mouth'. Yaani kwenye dunia ya sasa waajiri ambao wanajielewa k.m. kampuni kubwa watatumiaje 'word of mouth'? Kupata best of the best ya human resource kwenye labour market? Alafu mnajiuliza kwanini private sector yenu ipo ipo tu haieleweki. What is next, smoke signals na drum beating?BrighterMonday wanasema waajiri wengi wa Tanzania hawatumii data zinazotolewa na wao kufanya maamuzi ya kuajiri.
Wanategemea njia zao za kawaida kutumia watu wao.
Yake ni maoni yake tu.Acha kujaribu kumrembesha ngiri kwa kumpaka mafuta na lipstick. Wanasema waajiri wa Tz wanatumia 'word of mouth'. Yaani kwenye dunia ya sasa waajiri ambao wanajielewa k.m. kampuni kubwa watatumiaje 'word of mouth'? Kupata best of the best ya human resource kwenye labour market? Alafu mnajiuliza kwanini private sector yenu ipo ipo tu haieleweki. What is next, smoke signals na drum beating?
Please help me understand what they mean by word of the mouth. AFAIK, most of the orgs here have their section on career in their websites and also use their social media. In addition to that they use news paper ads.Acha kujaribu kumrembesha ngiri kwa kumpaka mafuta na lipstick. Wanasema waajiri wa Tz wanatumia 'word of mouth'. Yaani kwenye dunia ya sasa waajiri ambao wanajielewa k.m. kampuni kubwa watatumiaje 'word of mouth'? Kupata best of the best ya human resource kwenye labour market? Alafu mnajiuliza kwanini private sector yenu ipo ipo tu haieleweki. What is next, smoke signals na drum beating?
Vipi kuhusu Jumia na Tala je? Yaani wote hao wana kasoro moja au nyingine na lawama zote zinaishia kwao tu?Yake ni maoni yake tu.
Hakufanya research vizuri na ndiyo maana wake fail.
Zoom walifanya vizuri sana sokoni, walivyojiingiza kwa hao BrighterMonday wakaharibu kila kitu.
Mbona nimekujibu TALA waliishindwa sababu ya kuto timiza mashariti ya financial regulations za nchi!Vipi kuhusu Jumia na Tala je? Yaani wote hao wana kasoro moja au nyingine na lawama zote zinaishia kwao tu?
robo tatu ya watu huku ni maskini na wajinga hayo mambo ya intaneti wapi na wapi kwa watu wanohangaikia maisha ya kujikimu? wachache wanaotumia kazi yao ni umbea na kujipiga vipicha kuonesha vimagari sijui wanakula bata wapi yaani ujinga ujinga tuu, ccm ni mashetani wanaoonekana.The use of ICT equipment is also still low in Tanzania compared to other countries in the world
😂😂😂Hajui alichoandika
[emoji2][emoji2][emoji2]kumwelewa mbongo yakufaa uwe mbongo kwanza.Shida hao wazungu wakija bongo wanajuaga na sisi tunatabia kama za wakenya kushobokea kitu sababu ni cha mzungu wanakuja hawana connections za maana bongo wanaleta biashara mwisho wa siku wanakimbia sababu walikurupuka..........hizo kampuni za wazungu wajipange wasipende kugeneralize mambo Tz inabidi waifanyie market research yake peke yake sababu kwa Afika mashariki soko la huku ni abit complicated sio kama huko kwa majirani....ndo maana hadi sasa huku biashara za mall na ma supermarket bado zinapata shida sababu consumers wengi bado wana options cheaper na za karibu
primitive conservatism na zile sera za kijinga za kutakatisha pesa sijui statistics yaani hizi nchi za kikomunist zina matatizo mengi sana mbaya zaidi zimewajengea watu wake dhana za utegemezi kwa serikali na ndugu huku spirit ya ujasiliamali na ubunifu ikiwa haipoNot only PayPal.. Njia nyingi tu za malipo Tanzania haziruhusiwi, ni maswala ya kisera , chache tu zinaruhusiwa
Walioko kwenye mamlaka hawajaona umuhimu huo
Wanakurupuka sana.....hawa wazungu wakishawafanyia research guinea pigs wao wakenya basi wanakurupuka wanajua ukanda huu watu wote wana tabia zinafanana.....[emoji2][emoji2][emoji2]kumwelewa mbongo yakufaa uwe mbongo kwanza.
mtu anazungumzia online bizz,wakati kkoo kuna soko kunwa EA la bidhaa zote,inafaa kutulia sana vinginevyo...
Spirit kama haipo uchumi si ungekufa kabisaprimitive conservatism na zile sera za kijinga za kutakatisha pesa sijui statistics yaani hizi nchi za kikomunist zina matatizo mengi sana mbaya zaidi zimewajengea watu wake dhana za utegemezi kwa serikali na ndugu huku spirit ya ujasiliamali na ubunifu ikiwa haipo
Huko kuna Centrally planned/government driven economy ambapo uchumi wa dunia ya kisasa ni private driven economy.Saizi sio rahisi kuona ila burden ya population growth itakavyoleta shida ndio mtakuja kuelewa tunachomaanisha hapaSpirit kama haipo uchumi si ungekufa kabisa
China vipi na mambo yanaendaje acheni kukariri......walamba makobazi ya mzungu....tumeshaelewa njaa zinawasumbua tuHuko kuna Centrally planned/government driven economy ambapo uchumi wa dunia ya kisasa ni private driven economy.Saizi sio rahisi kuona ila burden ya population growth itakavyoleta shida ndio mtakuja kuelewa tunachomaanisha hapa
Hahaha!!mkiambiwa nyinyi bado mpo ovyo sana mnakataa, yani mwanume mzima unasifia chips[emoji23][emoji23]Wanakurupuka sana.....hawa wazungu wakishawafanyia research guinea pigs wao wakenya basi wanakurupuka wanajua ukanda huu watu wote wana tabia zinafanana.....
.
Mtu anakuwekea kibanda cha chips kuku pembeni ya kfc na anapiga biashara zaidi ya hao kfc hawajui watu wanapenda local taste zaidi wanakurupuka na mikuku yao baadae wanaanza kulialia biashara sio nzuri....yani nisiende kwa mpemba chips ina manjonjo yote mixer maukwaju nikale chips ya beberu kitu nikiweka mdomoni ladha hata siielewi mwisho wa siku tunakuta tunaenda tu kama tunataka kuuza sura, au kupeleka watoto na vimichepuko ila sio sehemu ambayo inakaa akilini kwamba nikiwa na njaa niende pale nikale..kanakua ka sehem kakwenda tu mara mojamoja
Hzo kampuni unazozitaja zingine zipo china na zinafanya poa..China vipi na mambo yanaendaje acheni kukariri......walamba makobazi ya mzungu....tumeshaelewa njaa zinawasumbua tu
[emoji1][emoji1][emoji1] Atakutusi bure mwanaume wa Dar, ukijaribu kumuambia kitu kuhusu chipsi. Usitake kumuona akiwa ame'chafua meza' na chipsi, juu zimenyunyiziwa kachumbari, mkononi kichokonoa meno, kando maji ya Kilimanjaro. Yaani hapo ni kama nyani na zile starehe zake za kukalia lami. Thiitiimaa! [emoji38]Hahaha!!mkiambiwa nyinyi bado mpo ovyo sana mnakataa, yani mwanume mzima unasifia chips[emoji23][emoji23]
Kweli jamani, yani unaanzaje kw mfano