Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

BrighterMonday wanasema waajiri wengi wa Tanzania hawatumii data zinazotolewa na wao kufanya maamuzi ya kuajiri.
Wanategemea njia zao za kawaida kutumia watu wao.

Ukweli ni kwamba tools na data za BrighterMonday zilikuwa zina 'mislead' waomba kazi na waajiri.

Mfano Mimi binafsi nimesumbuliwa sana na alert zao kwamba kazi flani inakufaa au kampuni flani inatafuta mtu kama wewe.
Ukienda kusoma lile tangazo unakuta waajiri wanataka mtu mwenye sifa tofauti sana na zako professionally.

Unakuta wanataka muhasibu huku wewe ni mtu wa IT au wa civil engineering.

Zoom matangazo yao kabla ya kujiunga na BrighterMonday walikuwa na alert/notification za matangazo relevant sana na profile yako uliyojaza kwenye mfumo wao.

BrighterMonday was a total crap.

TALA walifeli kwenye mambo mengine ya kibiashara kulingana na financial regulation za Central Bank of Tanzania known as BOT.
Siyo kwa kukosa wateja.
 
BrighterMonday wanasema waajiri wengi wa Tanzania hawatumii data zinazotolewa na wao kufanya maamuzi ya kuajiri.
Wanategemea njia zao za kawaida kutumia watu wao.
Acha kujaribu kumrembesha ngiri kwa kumpaka mafuta na lipstick. Wanasema kwamba waajiri wa Tz wanatumia 'word of mouth'. Yaani kwenye dunia ya sasa waajiri ambao wanajielewa k.m. kampuni kubwa watatumiaje 'word of mouth'? Kupata best of the best ya human resource kwenye labour market? Alafu mnajiuliza kwanini private sector yenu ipo ipo tu haieleweki. What is next, smoke signals na drum beating?
 
Acha kujaribu kumrembesha ngiri kwa kumpaka mafuta na lipstick. Wanasema waajiri wa Tz wanatumia 'word of mouth'. Yaani kwenye dunia ya sasa waajiri ambao wanajielewa k.m. kampuni kubwa watatumiaje 'word of mouth'? Kupata best of the best ya human resource kwenye labour market? Alafu mnajiuliza kwanini private sector yenu ipo ipo tu haieleweki. What is next, smoke signals na drum beating?
Yake ni maoni yake tu.

Hakufanya research vizuri na ndiyo maana wake fail.

Zoom walifanya vizuri sana sokoni, walivyojiingiza kwa hao BrighterMonday wakaharibu kila kitu.
 
Please help me understand what they mean by word of the mouth. AFAIK, most of the orgs here have their section on career in their websites and also use their social media. In addition to that they use news paper ads.

That's not the word of the mouth. May be they failed to influence behavioral change? Or may be their solution wasn't fitting the need?
 
Yake ni maoni yake tu.
Hakufanya research vizuri na ndiyo maana wake fail.

Zoom walifanya vizuri sana sokoni, walivyojiingiza kwa hao BrighterMonday wakaharibu kila kitu.
Vipi kuhusu Jumia na Tala je? Yaani wote hao wana kasoro moja au nyingine na lawama zote zinaishia kwao tu?
 
Mbona nimekujibu TALA waliishindwa sababu ya kuto timiza mashariti ya financial regulations za nchi!

JUMIA siwezi kukujibu sababu sina taarifa za kuanguka kwao.
 
Shida hao wazungu wakija bongo wanajuaga na sisi tunatabia kama za wakenya kushobokea kitu sababu ni cha mzungu wanakuja hawana connections za maana bongo wanaleta biashara mwisho wa siku wanakimbia sababu walikurupuka..........hizo kampuni za wazungu wajipange wasipende kugeneralize mambo Tz inabidi waifanyie market research yake peke yake sababu kwa Afika mashariki soko la huku ni abit complicated sio kama huko kwa majirani....ndo maana hadi sasa huku biashara za mall na ma supermarket bado zinapata shida sababu consumers wengi bado wana options cheaper na za karibu
 
The use of ICT equipment is also still low in Tanzania compared to other countries in the world
😂😂😂Hajui alichoandika
robo tatu ya watu huku ni maskini na wajinga hayo mambo ya intaneti wapi na wapi kwa watu wanohangaikia maisha ya kujikimu? wachache wanaotumia kazi yao ni umbea na kujipiga vipicha kuonesha vimagari sijui wanakula bata wapi yaani ujinga ujinga tuu, ccm ni mashetani wanaoonekana.
 
Shida hao wazungu wakija bongo wanajuaga na sisi tunatabia kama za wakenya kushobokea kitu sababu ni cha mzungu wanakuja hawana connections za maana bongo wanaleta biashara mwisho wa siku wanakimbia sababu walikurupuka..........hizo kampuni za wazungu wajipange wasipende kugeneralize mambo Tz inabidi waifanyie market research yake peke yake sababu kwa Afika mashariki soko la huku ni abit complicated sio kama huko kwa majirani....ndo maana hadi sasa huku biashara za mall na ma supermarket bado zinapata shida sababu consumers wengi bado wana options cheaper na za karibu
[emoji2][emoji2][emoji2]kumwelewa mbongo yakufaa uwe mbongo kwanza.

mtu anazungumzia online bizz,wakati kkoo kuna soko kunwa EA la bidhaa zote,inafaa kutulia sana vinginevyo...
 
Not only PayPal.. Njia nyingi tu za malipo Tanzania haziruhusiwi, ni maswala ya kisera , chache tu zinaruhusiwa

Walioko kwenye mamlaka hawajaona umuhimu huo
primitive conservatism na zile sera za kijinga za kutakatisha pesa sijui statistics yaani hizi nchi za kikomunist zina matatizo mengi sana mbaya zaidi zimewajengea watu wake dhana za utegemezi kwa serikali na ndugu huku spirit ya ujasiliamali na ubunifu ikiwa haipo
 
[emoji2][emoji2][emoji2]kumwelewa mbongo yakufaa uwe mbongo kwanza.

mtu anazungumzia online bizz,wakati kkoo kuna soko kunwa EA la bidhaa zote,inafaa kutulia sana vinginevyo...
Wanakurupuka sana.....hawa wazungu wakishawafanyia research guinea pigs wao wakenya basi wanakurupuka wanajua ukanda huu watu wote wana tabia zinafanana.....
.
Mtu anakuwekea kibanda cha chips kuku pembeni ya kfc na anapiga biashara zaidi ya hao kfc hawajui watu wanapenda local taste zaidi wanakurupuka na mikuku yao baadae wanaanza kulialia biashara sio nzuri....yani nisiende kwa mpemba chips ina manjonjo yote mixer maukwaju nikale chips ya beberu kitu nikiweka mdomoni ladha hata siielewi mwisho wa siku tunakuta tunaenda tu kama tunataka kuuza sura, au kupeleka watoto na vimichepuko ila sio sehemu ambayo inakaa akilini kwamba nikiwa na njaa niende pale nikale..kanakua ka sehem kakwenda tu mara mojamoja
 
primitive conservatism na zile sera za kijinga za kutakatisha pesa sijui statistics yaani hizi nchi za kikomunist zina matatizo mengi sana mbaya zaidi zimewajengea watu wake dhana za utegemezi kwa serikali na ndugu huku spirit ya ujasiliamali na ubunifu ikiwa haipo
Spirit kama haipo uchumi si ungekufa kabisa
 
Huko kuna Centrally planned/government driven economy ambapo uchumi wa dunia ya kisasa ni private driven economy.Saizi sio rahisi kuona ila burden ya population growth itakavyoleta shida ndio mtakuja kuelewa tunachomaanisha hapa
 
China vipi na mambo yanaendaje acheni kukariri......walamba makobazi ya mzungu....tumeshaelewa njaa zinawasumbua tu
 
Wanakurupuka sana.....hawa wazungu wakishawafanyia research guinea pigs wao wakenya basi wanakurupuka wanajua ukanda huu watu wote wana tabia zinafanana.....
.
Mtu anakuwekea kibanda cha chips kuku pembeni ya kfc na anapiga biashara zaidi ya hao kfc hawajui watu wanapenda local taste zaidi wanakurupuka na mikuku yao baadae wanaanza kulialia biashara sio nzuri....yani nisiende kwa mpemba chips ina manjonjo yote mixer maukwaju nikale chips ya beberu kitu nikiweka mdomoni ladha hata siielewi mwisho wa siku tunakuta tunaenda tu kama tunataka kuuza sura, au kupeleka watoto na vimichepuko ila sio sehemu ambayo inakaa akilini kwamba nikiwa na njaa niende pale nikale..kanakua ka sehem kakwenda tu mara mojamoja
Hahaha!!mkiambiwa nyinyi bado mpo ovyo sana mnakataa, yani mwanume mzima unasifia chips[emoji23][emoji23]
Kweli jamani, yani unaanzaje kw mfano
 
China vipi na mambo yanaendaje acheni kukariri......walamba makobazi ya mzungu....tumeshaelewa njaa zinawasumbua tu
Hzo kampuni unazozitaja zingine zipo china na zinafanya poa..
Wale ni wajamaa lkn hawaez kukubali kuwehuka na heka hekayq km za kwenu
 
Hahaha!!mkiambiwa nyinyi bado mpo ovyo sana mnakataa, yani mwanume mzima unasifia chips[emoji23][emoji23]
Kweli jamani, yani unaanzaje kw mfano
[emoji1][emoji1][emoji1] Atakutusi bure mwanaume wa Dar, ukijaribu kumuambia kitu kuhusu chipsi. Usitake kumuona akiwa ame'chafua meza' na chipsi, juu zimenyunyiziwa kachumbari, mkononi kichokonoa meno, kando maji ya Kilimanjaro. Yaani hapo ni kama nyani na zile starehe zake za kukalia lami. Thiitiimaa! [emoji38]
1846522_41772113_2124817704406671_5317167987734609920_n.jpg
 
Back
Top Bottom