Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

Niliwasikia watu wawili wakihadithiana hapa Dar, mmoja akisema ana mdogo wake anahema sana kwa short breathe (Utadhani Samaki aliye nje ya maji) akawa na wasiwasi kuwa huenda ile ni Corona.

Mimi katika kutumia common sense nikahisi something must be wrong!.
JAMANI KUNA PROBABILITY KUBWA CORONA IKO MITAANI DAR

Na kitendo cha hii Serikali kuchukua hatua nusu nusu kama vile kuchelewa kufunga mipaka tutakufa wengi, hali itakuwa mbaya

Ishu ya mtoto wa Mbowe ambaye anasema hakusafiri nje ya nchi mwaka huu mzima inamaanisha kuwa kaupata humuhumu nchini kwa hiyo maambukizi ya ndani ya nchi yameshaanza. Ni hatari sana ndugu zangu.

Tutakufa kama kuku!
 
Mtu ambae alikuwa haelewi kuwa Corona kishaingia Tanzania, hiyo atakuwa poyoyo wa mwisho.

Corona hayupo Dar Tu, Corona yupo Tanzania nzima na hata Dodoma yupo.

Dodoma serikali haikuhamia leo wala jana. Ni poyoyo tu asiyeelewa kuwa serikali ilishahamia Dodoma siku nyingi.

Kila mtu anatakiwa achukuwe hatua za salama za kujilinda yeye na wengine. Msingoje serikali iwafanyie kila kitu. Serikali yenyewe ni binaadam kama sisi na wao pia hawapo salama kwa corona.

Tusiwe wajinga.
 
Kuna watu wangapi dar wameathirika na corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
................Shida hamziruhusu akili zenu kufikiri tofauti na mnavyofikiri,kwani hao Italy wanaohangaika leo ilitokea tu siku moja wakaonekana watu mia moja wanao huu ugonjwa?

Fikirisha kichwa hiko siyo pambo hilo kitumie.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
He, kule Kariakoo na mwendo kwenye mwendo kasi itakuwaje?
 
JIBU swali kuna wagonjwa wangapi dar?.
hayo mambo ya Italian na watanzania wapi na wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
JIBU swali kuna wagonjwa wangapi dar?.
hayo mambo ya Italian na watanzania wapi na wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
..............Unataka arifa zitoke JamiiForums as if hukumsikia makonda na waziri mkuu wako kwamba habari za huu ugonjwa zitatangazwa na waziri wa afya tu,kingine hoja yako ni dhaifu hili ni janga la dunia huwezi kutofautisha kilichotokea China au Italy kama hali itakuwa mbaya hapa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sasa mbona mnakuza kuwa kuna wagonjwa wengi wa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli korona IPO mitaani Dar na Amiri jeshi mkuu na wasaidizi wake wote ghafla Jana wakaitana Dodoma ikiwa ni mbinu ya kukimbia Dar es Salaam.
Toka lini eti kikao cha baraza LA mawaziri kikawakusanya manaibu waziri wote na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama?
Haya sasa vita hiyo iko mtaani Dar na makamanda wakuu wamekula kona, kaachwa bwege linazunguka Dar kueleza furaha yake kwamba mtoto wa Mbowe anaugua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujasema waje kutunawisha mikono, waza vizuri na wewe ebooh..!

Hawaitwi serikali kama neno la kibwagizo wana wajibu na mamlaka wamepewa ba dhamana ambayo kimsingi inawataka kuwajibika kwa upanda zaidi ya wewe unavyo loloma hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la Corona tunalifanyia mizaha mingi kwa sasa lakini siyo Jambo la kupuuzwa kwa kiwango hicho,tahadhari tunazozichukua bado haziridhishi,baadhi ya watu hawana uelewa wa kutosha,Jana kwenye stendi ya Mbezi mwisho nimeshuhudia baadhi ya watu wakikataa kunawa mikono kabla ya kupanda magari,Ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…