Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Tazama haya machache;
1. Kumpiga Chilongani mgonbea mwenzie kwenye kura za maoni CCM Kongwa 2015
2. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
3. Kumrudisha Cecil Mwambe wa CHADEMA ambaye alikuwa amejivua uwanachama mwaka 2020
4. Kuwakumbatia wabunge wanaoitwa COVID 19 ambao hawana chama
5. Kutumia mabilioni ya shilingi za Kitanzania kwenye matibabu nchini India kwa kuwa tu alikwenda na familia na wasaidizi wengi.
6. Kusema kuwa Yesu alikuwa na mke
7. Kulalamika kuwa anabaguliwa kwa sababu ni mgogo
8. Kusema atake asitake lazima tumlazimishe Magufuli awe Rais wetu kipindi cha 3
9. Kukataa kufanya kazi na CAG Prof Assad baada ya kudai Bunge ni dhaifu
10. Kumzodoa Rais kuhusu mikopo
Ndugai hana mshipa wa kuchuja pumba na mchele. Ndugai alikwishakiri mwenyewe nkuwa ana faili hospitali ya Milembe. Kwa waliowahi kuface one on one na Ndugai wanajua ninachosema.
Ukiona profile ya Spika huyu, unaanza kujiuliza kuwa hawa watu wanapatikanaje? Je kweli hakukuwa na mtanzania mwingine mwenye credibility, maturity na wisdom zaidi ya Ndugai?
#KatibaMpyaNiMuhimu