Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu ya Tano tulikuwa na msiba mkubwa Tanzania kwa kuongozwa na Rais na Spika akili mojaTazama haya machache;
1. Kumpiga Chilongani mgonbea mwenzie kwenye kura za maoni CCM Kongwa 2015
2. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
3. Kumrudisha Cecil Mwambe wa CHADEMA ambaye alikuwa amejivua uwanachama mwaka 2020
4. Kuwakumbatia wabunge wanaoitwa COVID 19 ambao hawana chama
5. Kutumia mabilioni ya shilingi za Kitanzania kwenye matibabu nchini India kwa kuwa tu alikwenda na familia na wasaidizi wengi.
6. Kusema kuwa Yesu alikuwa na mke
7. Kulalamika kuwa anabaguliwa kwa sababu ni mgogo
8. Kusema atake asitake lazima tumlazimishe Magufuli awe Rais wetu kipindi cha 3
9. Kukataa kufanya kazi na CAG Prof Assad baada ya kudai Bunge ni dhaifu
10. Kumzodoa Rais kuhusu mikopo
Ndugai hana mshipa wa kuchuja pumba na mchele. Ndugai alikwishakiri mwenyewe nkuwa ana faili hospitali ya Milembe. Kwa waliowahi kuface one on one na Ndugai wanajua ninachosema.
Ukiona profile ya Spika huyu, unaanza kujiuliza kuwa hawa watu wanapatikanaje? Je kweli hakukuwa na mtanzania mwingine mwenye credibility, maturity na wisdom zaidi ya Ndugai?
#KatibaMpyaNiMuhimu
Ndugai yuko too disorganized, too low, uncivilized and uncouth. Hakustahili kuwa Spika wa Bunge kwa kweli. Katiba ijayo iweke vigezo mahususi ili tuepuke kuingia mtego wa kupata mijitu kama NdugaiHapa Dawa ni Katiba Mpya Ndugai aliota mapembe sana.
Kachambwa na maji ya betri😀😀Jeuri yake leo imenyongwa na mpemba
Job bye byeTazama haya machache;
1. Kumpiga Chilongani mgonbea mwenzie kwenye kura za maoni CCM Kongwa 2015
2. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
3. Kumrudisha Cecil Mwambe wa CHADEMA ambaye alikuwa amejivua uwanachama mwaka 2020
4. Kuwakumbatia wabunge wanaoitwa COVID 19 ambao hawana chama
5. Kutumia mabilioni ya shilingi za Kitanzania kwenye matibabu nchini India kwa kuwa tu alikwenda na familia na wasaidizi wengi.
6. Kusema kuwa Yesu alikuwa na mke
7. Kulalamika kuwa anabaguliwa kwa sababu ni mgogo
8. Kusema atake asitake lazima tumlazimishe Magufuli awe Rais wetu kipindi cha 3
9. Kukataa kufanya kazi na CAG Prof Assad baada ya kudai Bunge ni dhaifu
10. Kumzodoa Rais kuhusu mikopo
Ndugai hana mshipa wa kuchuja pumba na mchele. Ndugai alikwishakiri mwenyewe nkuwa ana faili hospitali ya Milembe. Kwa waliowahi kuface one on one na Ndugai wanajua ninachosema.
Ukiona profile ya Spika huyu, unaanza kujiuliza kuwa hawa watu wanapatikanaje? Je kweli hakukuwa na mtanzania mwingine mwenye credibility, maturity na wisdom zaidi ya Ndugai?
#KatibaMpyaNiMuhimu
Tuanze kumsulubisha Mzee was bakora kwanza kwani ni kikwazo namba Moja kwa maendeleo na ustawi wa watanzania .Nchi hii inahitaji mijeledi ili Wananchi wajitambue.
Hatuwezi kuendelea kwa ujinga huu wa Wananchi
Ki-Katiba Spika Kama anatokana na wabunge atapoteza nafasi ya uspika Kama hana sifa za kuwa mbunge. Sifa ya kuwa mbunge ni kuwa mwanachama wa Chama cha siasa! Rais ndiyo Mwenyekiti wa CCM kwa hiyo Chama kikimvua uanachama tu amekosa uspika na ubunge na hata Mafao halipwi.Tuanze kumsulubisha Mzee was bakora kwanza kwani ni kikwazo namba Moja kwa maendeleo na ustawi wa watanzania .
Ukifanya background check utakuta kuwa Ndugai hakulelewa na wazazi wake. Yasemekana mama yake alikuwa na maradhi ya kichaa kiasi hata baba yake halisi hamjui. Jina la Ndugai ni la wajomba.Mwalimu Nyerere alikuwa anachukua vijana kwenye yale makabila ya pembezoni na kuwaingiza sekondari hata kama hajui kuandika.
Job atakuwa ni mmojawapo wa wale ,