Imethibitika Uwezo wa Kiuongozi wa Job Ndugai ni Mdogo Sana; Je Alipatikanaje?

Angalia hapa akimtandika mgombea mwenziye
Your browser is not able to display this video.
 
Godbless Lema alimuonya lakini hakusikia;
Your browser is not able to display this video.
 
Alijiona kama mungu mtu;
Your browser is not able to display this video.
 
Mwalimu Nyerere alikuwa anachukua vijana kwenye yale makabila ya pembezoni na kuwaingiza sekondari hata kama hajui kuandika.

Job atakuwa ni mmojawapo wa wale ,
 
Awamu ya Tano tulikuwa na msiba mkubwa Tanzania kwa kuongozwa na Rais na Spika akili moja
 
Hapa Dawa ni Katiba Mpya Ndugai aliota mapembe sana.
Ndugai yuko too disorganized, too low, uncivilized and uncouth. Hakustahili kuwa Spika wa Bunge kwa kweli. Katiba ijayo iweke vigezo mahususi ili tuepuke kuingia mtego wa kupata mijitu kama Ndugai
 
Job bye bye

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tuanze kumsulubisha Mzee was bakora kwanza kwani ni kikwazo namba Moja kwa maendeleo na ustawi wa watanzania .
Ki-Katiba Spika Kama anatokana na wabunge atapoteza nafasi ya uspika Kama hana sifa za kuwa mbunge. Sifa ya kuwa mbunge ni kuwa mwanachama wa Chama cha siasa! Rais ndiyo Mwenyekiti wa CCM kwa hiyo Chama kikimvua uanachama tu amekosa uspika na ubunge na hata Mafao halipwi.
 
Mwalimu Nyerere alikuwa anachukua vijana kwenye yale makabila ya pembezoni na kuwaingiza sekondari hata kama hajui kuandika.

Job atakuwa ni mmojawapo wa wale ,
Ukifanya background check utakuta kuwa Ndugai hakulelewa na wazazi wake. Yasemekana mama yake alikuwa na maradhi ya kichaa kiasi hata baba yake halisi hamjui. Jina la Ndugai ni la wajomba.

Tabia yake na hulka yake ni zao la difficult upbringing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…