Imetimia miaka 20 tangu tukio la kuabisha linitokee hadi nikahama Kijiji

Yaani ungenioma ungenifariji kutwa nzima. Omba yasikukute!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ulikuwa unajifanya mchambuzi wa soka hata Sheria huzijui πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
Kilichokuwa kinakukimbiza kilikuwa ni masifa tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Ungejua ungeishia kwenye hizo offside ulizoziona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™†
 
Sifa zilinoponza, lakini kwa kile kilichonitokea nimejifunza pakubwa mno.

Sasa hivi mtu akinisifu sibweteki, akinilaumu sioni hatia.
 
Halafu umerudi na pua ndogo nini shida 😜
Au ulipata ajali.
Hapana, pua yangu haijabadilika. Ni kwamba sasa hivi nahema taratibu kiasi cha kufanya pua kutotanuka kama hapo awali.

Hapo awali nilikuwa nahema kwa nguvu utadhani nashindania oxygen na viumbe wengine, ndiyo maana ukawa unaniona nina pua pana.
 
Hapana, pua yangu haijabalika. Ni kwamba sasa hivi nahema taratibu kiasi cha kufanya pua kutotanuka kama hapo awali.

Hapo awali nilikuwa nahema kwa nguvu utadhani nashindania oxygen na viumbw wengine, ndiyo maana ukawa unaniona nina pua pana.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Nini kimepata rafiki yangu Hadi uheme taratibu
 
Chai
 
Dah nimecheka kabla ujuaji aufahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…