Imetimia miaka 20 tangu tukio la kuabisha linitokee hadi nikahama Kijiji

Imetimia miaka 20 tangu tukio la kuabisha linitokee hadi nikahama Kijiji

Baadaye rafiki yangu mmoja akaja kuninong'oneza sababu iliyokuwa ikiwafanya watu kunizomea, dah 🥲. Miguu ilikosa nguvu, hata nikaanza kutokwa na jasho mithili ya mtu aliyedinya mchana kutwa kwenye shamba la mpunga.
Pole sana, kuna mambo yanafurahisha sana...


Cc: Mahondaw
 
2006 Mimi ndio nilikua naachana na mke wangu wa 3 niliepata nae watoto 4..za sahizi mjkuu wangu, hujambo ?
Unajua kinachowapumbaza vijana ni mwaka ambao ulijiunga JF (kwa ID unayotumja). Wanasahau mazima kuwa tulikuwapo tangu enzi na enzi.
 
Back
Top Bottom