johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakati wote Mungu ni mwema.
Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu mpendwa katika Bwana mtumishi Tundu Antipas Lissu.
Katikati ya maumivu ya kimwili wakakunyang'anya na ubunge lakini kuna wanaccm wawili walionesha Upendo wa kukutembelea pale Nairobi hospital nao Mungu amewabarikia bara na visiwani.
Yesu alisema " Wapendeni adui zenu watendeeni mema wanaowaudhi"
Amina!
Mungu ni mwema wakati wote!
www.jamiiforums.com

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...