Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Dr.Ulisubisya Mpoki Mwasumba nae ni laana kwa afya na uhai wa Mh.Tundu Lissu?!!!
Yaani huyu Katibu Mkuu wa zamani Wizara ya Afya aliyeamua kuivua "SUTI" na kuingia "THEATRE" kulisimamia zoezi la kuyanusuru maisha ya mh.Lissu naye pia ni laana ?!! Khaaa 😲😲
Ewe Mola mbariki sana Dr.Ulisubisya Mpoki Mwasumba ,aaamin aaamin🙏
Hakika yeye na wenzake WATAKUMBUKWA SANA kuyanusuru maisha ya mh.Lissu yaliyokuwa UKINGONI KUTOWEKA....
#SiempreJMT
#NchiKwanza