Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Dr.Ulisubisya Mpoki Mwasumba nae ni laana kwa afya na uhai wa Mh.Tundu Lissu?!!!
Hilo dogo kwako?!!Alikwenda Nairobi kikazi, ndio akatumia fursa hiyo kumtembelea Lissu.
Ndiyo ujie cirro atakuwa fuel ya kuchomea waovu huko motoni.Hadi sasa polisi hawajawahi hata kufungua jalada la uchunguzi
Hadi sasa polisi hawajawahi hata kufungua jalada la uchunguzi
Hivi aliomba ruhusa kwa Boss wake au aliamua kwenda kumuona mgonjwa kibabe?Mh.Rais SSH alipanda ndege kwenda kumjulia hali
mh.Tundu Lissu pale NAIROBI.....
Hakika ni UTU na UPENDO wa hali ya juu......
#MunguNiMwemaWakatiWote[emoji120]
#SiempreJMT
Hivi kuna watu bado hawaamini kwamba Mungu yupo?Mungu ameshatoa hukumu yake. Alietaka kumtanguliza mwenzake katangulia yeye. Mungu aliufanya moyo wa pharaoh kua mgumu ili apate kumwangamiza mwenyew. Farao ameshaangamia.
Kwa hiyo umekubali hao wengine ni laana isipokua yeye?Dr.Ulisubisya Mpoki Mwasumba nae ni laana kwa afya na uhai wa Mh.Tundu Lissu?!!!
Yaani huyu Katibu Mkuu wa zamani Wizara ya Afya aliyeamua kuivua "SUTI" na kuingia "THEATRE" kulisimamia zoezi la kuyanusuru maisha ya mh.Lissu naye pia ni laana ?!! Khaaa [emoji44][emoji44]
Ewe Mola mbariki sana Dr.Ulisubisya Mpoki Mwasumba ,aaamin aaamin[emoji120]
Hakika yeye na wenzake WATAKUMBUKWA SANA kuyanusuru maisha ya mh.Lissu yaliyokuwa UKINGONI KUTOWEKA....
#SiempreJMT
#NchiKwanza
Wapo
aliporudi ilawa kasheshe, ati nani alimtuma kufika hosp hapo na kutoa salam ambazo hakupewa.Alikwenda Nairobi kikazi, ndio akatumia fursa hiyo kumtembelea Lissu.
Alishalaaniwa DUNIANI na MBINGUNI .Alaaniwe Jiwe huko anakoozea kwa kumpiga Lisu risasi
Upendo wa Agape!Hivi aliomba ruhusa kwa Boss wake au aliamua kwenda kumuona mgonjwa kibabe?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hahahahahaaaa wanajiamini nini?Wapo
Wapinga Kristo
Huyu Mama asingekua Makamu kwa hiki alichofanya angetumbuliwa haha, alimchukiza sana Bwana Mkubwa
Na kwa mapenzi ya Mungu mkuu, waliotaka kumuua Lissu wao wameshakufa.Wakati wote Mungu ni mwema.
Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu mpendwa katika Bwana mtumishi Tundu Antipas Lissu.
Katikati ya maumivu ya kimwili wakakunyang'anya na ubunge lakini kuna wanaccm wawili walionesha Upendo wa kukutembelea pale Nairobi hospital nao Mungu amewabarikia bara na visiwani.
Yesu alisema " Wapendeni adui zenu watendeeni mema wanaowaudhi"
Amina!
Mungu ni mwema wakati wote!
DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...www.jamiiforums.com