Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

Sio kila kilicho kwenye maandiko kina uhalisia, tizama ufalme wa UK wamehusika direct kwenye ukoloni, na vizazi zaidi ya vitatu kwao tayari vimepita bt karma huioni kwao, karma haina uhalisia mkuu.

Kuna nadharia nyingi tunazitumia kujifariji bt ukizichunguza kwa utulivu hazina uhalisia kabisa.
Ukifanya tukio personalky linakukamata,ila kama ulikuwa unatekeleza order kiserikali inamkamata aliyetoa order
Mfano jaji akikuhukumu unyongwe huwezi sema ameua yeye ametimiza wajibu tu.
Wakoni walikuwa kazini kutimiza order ya serikali zao
 
Imebidi nicheke tu, ukifanya ubaya kwa niaba ujue nawe ni mshirika la sivyo unapaswa kujiweka kando.
 
Mkuu ya kweli haya?????????
Mie nilichoka kiukweli asubuhi panakucha sijui niende wapi sijui nitakula nini na kipindi hicho mwanangu mdogo bado ananyonya......nilihamia kwenye pagale langu halina mlango....choo ni mifuko ya cement nimeunga unga simu sina...kila jina baya nilipewa...waliniita mpaka mchawi...mpaka kanisani nilikuwa kama kituko...Kuna siku mahubiri yalinihusu mimi kama mfano...wengine wakasema nina laana...wengine wakasema nina roho mbaya ndio maana sifanikiwi.......AISEE
 
Back
Top Bottom