Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Manyara Hanang'? Ardhi nzuri sana kule vijiji vya Dirmaa!Kawaida sana kwa kijijini,vyakula vingi sinunui,nifungue code tu niko Manyara porini ardhi nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyara Hanang'? Ardhi nzuri sana kule vijiji vya Dirmaa!Kawaida sana kwa kijijini,vyakula vingi sinunui,nifungue code tu niko Manyara porini ardhi nzuri sana
Wana shapes kkubwa?Unaweza kujishangaa ulikuwa wapi siku zote,ardhi nzuri,wanawake wazuri
Mdukuzi, Mdakuzi, Mrangi zote ni I'd Moja...wajanja tunachakata Mbususu kwa I'd tuzote hizo ni ID zangu ,inategemea na content ninayotaka kupost na nimeamkaje siku hiyo,i love you baby
Kwanza unapaswa uwashukuru kwa kukupa hasira za kujitafuta tena na hatimae umejipata.Sukukimbia nilizisolve kibabe,otherwise ningeshajinyonga
Changamoto ukizichua in a positive way zina faida kubwa kuliko hasara, bt shida ya wengi wetu ni watu wa negativity sana.Sio kweli,hii bullying ni mbaya sana ukiwa na roho ndogo unajidhuru
And that's Karma's law.Changamoto ulizozikimbia nakuhakikishia soon utazipitia kupitia ukoo wako mpya.
Hongera sana.Kuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.
Mimi yakiwahi kunikuta, ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu.
Dunia ina rangi nyingi sana, hakuna rangi sukuona, ndugu walinitenga sana, upendo wa wazazi sikuuona kabisa.
Mwaka 2013 rafiki yangu akanishauri kutafuta maisha mkoa X, nilienda na shilingi laki moja ila jamaa alikuwa mwenyeji maeneo yale na tulifanikiwa kufanya biashara ya kulangua mazao ya mbogamboga, tunanunua nyanya, hoho, vitunguu au pilipili na kutuma Dar.
Ndani ya mwaka mmoja nilikuwa na akiba ya kutosha bank, kumbuka hapo hakuna ndugu anayejua nilipo.
Niliweza kukodi mashamba na kujikita kwenye kilimo. Ule mkoa ulikuwa na wanawake wazuri sana wanaokuja kuomba vibarua shambani, sikubaki nyuma nilikuwa naingia nao kwenye mahusiano mafupi au marefu.
Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30 na wanatumia ubini wangu.
Zoezi la uzalishaji linaendelea, nilinunua shamba kubwa mbali na wanakiji kwa gharama ya milioni tano tu, eneo lilikuwa msitu nilifyeka na Kuanza ufyatuaji wa tofali za kuchoma, kuchimba kisimana ujenzi wa vijumba slopes kumi kwa wake zangu, nimejenga pia bweni dogo kwa ajili ya watoto wa kiume.
Nikiwa kijijini mimi ni mwanakijiji haswaa, nikiwa Dar naishi kwenye single room.
Naweza kusema nina nafsi mbili.
Moja ni ile ya village life na nyingine ni urban life.
Lengo langu ni kutimiza watoto 50, sina ndugu ninayewasiliana nae zaidi ya wana JF nyie ndio ndugu zangu pamoja na watoto wangu na wanawake wanne niliozaa nao,ambao walikubali niishi nao kijijini
Watoto wangu hawawajui shangazi zao wala baba wadogo/wakubwa, bibi wala babu.
Inawezekana kabisa kuanzisha ukoo wako hujachelewa ndugu yangu.
Nikupe moyo ewe kijana uliyekata tamaa mjini bila kujali elimu yako,njoo manyara jikite na kilimo tafuta mke oa anzisha familia,huku kuna wanawake wazuri sana kama ilivyo ardhi yao nzuri
Tofauti ba ujinga ujinga ninaopost humu mimi ni mtu mzima,mwaka 1986 kombe la dunia,nilikuwa na miaka 8 niliangalizia nyumbani kwa Sheikh Yahya,magomeni,aliweka screen kubwa sana pale nje size ya kioo cha mbele cha fuso,pembeni kaoaki limossine yake milango sita
Mwimbaji wa kwanza wa huo wimbo nadhani ni Tongolanga,sio Harmonize"Kila munu Ave na kwao, Apanu pa chilambo, kwa Babaye na Mamaye, kukaya kwa vele kwa jije, Kila Munu lina nowela isiku ya aenda kwao, Kwa Babaye na Mamaye, Kukaya kwa vele kwa jiije." - Harmonize.
Yeah, huwa natamani siku moja niwahi huko kulima ngano na carthum (Safflower).Unaweza kujishangaa ulikuwa wapi siku zote,ardhi nzuri,wanawake wazuri
Binafsi naionaga karma kama haina uhalisia, imagine dhulma na mauaji wanayofanya wanasiasa duniani kote bt still wanakula bata na familia zao miaka nenda rudi, je karma ina ubaguzi? Nipe darasa kidogo mkuu.And that's Karma's law.