Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

Kweli umeamua kuanzisha ukoo wako mana hata kwenye huu uzi wako umetambulisha lugha mpya kuna maneo mapya kama "watoti, baafa, silingi laki moja, pilipilina, uzalushaji, juanza, lifena"

Haya ni maendeleo makubwa sana kuanzisha ukoo na kutambulisha lugha mpya
Ungana naye uzae uache kuingilia uani hutapata uzao🤣
 
Kuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.

Mimi yakiwahi kunikuta,ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu.

Dunia ina rangi nyingi sana,hakuna rangi sukuona,ndugu walinitenga sana,upendo wa wazazi sikuuona kabisa.

Mwaka 2013 rafiki yangu akanishauri kutafuta maisha mkoa X,nilienda na silingi laki moja ila jamaa alikuwa mwenyeji maeneo yale na tulifanikiwa kufanya biashara ta kulangua mazao ya mbogamboga,tunanunua nyanya,hoho,vitunguu au pilipili na kutuma dar,

Ndani ya mwakammoja nilikuwa na akiba yakama milioni 8 bank,kumbuka hapo hakuna ndugu anayejua nilipo .

Niliweza kukodi mashamba na kujikita kwenye kilimo.
Ule mkoa ulikuwa na wanawake wazuri sana wanaokuja kuomba vibarua shambani,sikubaki nyuma nilikuwa naingia nao kwenye mahusiano mafupi au marefu

Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30 na wanatumia ubini wangu,

Zoezi la uzalushaji linaendelea,ninunua shamba kubwa mbali na wanakiji kwagharama ya milioni tano tu,eneo lilikuwa msitu nilifyeka na juanza ufyataji wa tofali za kuchoma,kuchimba kisimana ujenzi wa vijumbaslooes kumi kwa wake zangu,nimejenga pia bweni dogo kwa ajili ya watoto wa kiume.

Nikiwa kijijini mimini mwanakijiji aswaa,nikiwa Dar naishi kwenye apartment ya single room Masaki.

Naweza kusema nina nafsi mbili.
Mojani ile ya village lifena nyingine ni urban life.

Lengo langu ni kutimiza watoti 50 ,sina ndugu ninayewasiliana nae zaidi ya wana JF nyie ndio ndugu zangu pamoja na watoto wangu na wanawake wanne niliozaa nao,ambao walikubali niishi nao kijijini

Watoto wangu hawawajui shangazi zao wala baba wadogo/wakubwa,bibi wala babu

Inawezekana kabisa kuanzisha ukoo wako hujachelewa ndugu yangu

Tofauti ba ujinga ujinga ninaopost humu mimi ni mtu mzima,mwaka 1986 kombe la dunia,nilikuwa na miaka 8 niliangalizia nyumbani kwa Sheikh Yahya,magomeni,aliweka screen kubwa sana pale nje size ya kioo cha mbele cha fuso,pembeni kaoaki limossine yake milango sita
Nafuata nyayo mkuu hoja imepokelewa kwa mikono miwili.😊
 
Ninao mpango kama huu maana Ukoo wa Mzee miyayusho sana, Mimi nitaenda mbali zaidi nitaanzisha kabila jipya kabisa sio ukoo tu. Lengo ni kufa na kuacha kabila la watu wasiopungua 500 ikiwa ni jumla ya Watoto, wajukuu na Wake watakaokubali kuambatana nami.
Inawezekana,oa wanawake wengi toka vijiji vya mikoa tofauti warundike hapo,mtatengeneza creole au pirgin ,lugha tayari
 
Kuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.

Mimi yakiwahi kunikuta,ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu.

Dunia ina rangi nyingi sana,hakuna rangi sukuona,ndugu walinitenga sana,upendo wa wazazi sikuuona kabisa.

Mwaka 2013 rafiki yangu akanishauri kutafuta maisha mkoa X,nilienda na silingi laki moja ila jamaa alikuwa mwenyeji maeneo yale na tulifanikiwa kufanya biashara ta kulangua mazao ya mbogamboga,tunanunua nyanya,hoho,vitunguu au pilipili na kutuma dar,

Ndani ya mwakammoja nilikuwa na akiba yakama milioni 8 bank,kumbuka hapo hakuna ndugu anayejua nilipo .

Niliweza kukodi mashamba na kujikita kwenye kilimo.
Ule mkoa ulikuwa na wanawake wazuri sana wanaokuja kuomba vibarua shambani,sikubaki nyuma nilikuwa naingia nao kwenye mahusiano mafupi au marefu

Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30 na wanatumia ubini wangu,

Zoezi la uzalushaji linaendelea,ninunua shamba kubwa mbali na wanakiji kwagharama ya milioni tano tu,eneo lilikuwa msitu nilifyeka na juanza ufyataji wa tofali za kuchoma,kuchimba kisimana ujenzi wa vijumbaslooes kumi kwa wake zangu,nimejenga pia bweni dogo kwa ajili ya watoto wa kiume.

Nikiwa kijijini mimini mwanakijiji aswaa,nikiwa Dar naishi kwenye apartment ya single room Masaki.

Naweza kusema nina nafsi mbili.
Mojani ile ya village lifena nyingine ni urban life.

Lengo langu ni kutimiza watoti 50 ,sina ndugu ninayewasiliana nae zaidi ya wana JF nyie ndio ndugu zangu pamoja na watoto wangu na wanawake wanne niliozaa nao,ambao walikubali niishi nao kijijini

Watoto wangu hawawajui shangazi zao wala baba wadogo/wakubwa,bibi wala babu

Inawezekana kabisa kuanzisha ukoo wako hujachelewa ndugu yangu

Tofauti ba ujinga ujinga ninaopost humu mimi ni mtu mzima,mwaka 1986 kombe la dunia,nilikuwa na miaka 8 niliangalizia nyumbani kwa Sheikh Yahya,magomeni,aliweka screen kubwa sana pale nje size ya kioo cha mbele cha fuso,pembeni kaoaki limossine yake milango sita
We jamaa ni mtu wa stori sana sometimes story zako ngumu sana mtu kuamini
 
Naikumbuka milango sita range rover.....
Story yako inafanana na yangu kwa % kubwa.......mie ndugu zangu wote ni kama washirikina...nilifilisika...nikateseka...nikachakaa haswa....hapo ndipo niliijua dunia, watu wake pamoja na Mungu......
Nilionekana kituko watu wakanikimbia waziwazi.....
KWA KIFUPI
MUNGU
FUNDI
 
Kweli kabisa,ukitaka kuwajua ndugu na rafiki wa kweli firisika
 
Back
Top Bottom