Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 kuliko kuwa na furushi au sioHaaaa Eve jamaniiii! Si bora ningebaki tu single?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 kuliko kuwa na furushi au sioHaaaa Eve jamaniiii! Si bora ningebaki tu single?
hakika ni mkoa ninaotaman kwenda na nitakwenda nikaone fursa zinazopatikana hukoManyara
Ni hatari mkuu😆Mkuu amepuyanga dakika zote tisini eti UWANDISHI badala ya UANDISHI...
Amejifanya yeye Taasisi ya Kiswahili lakini ameingia kwenye mfumo.
Kama jina hilo si lile ulilopewa na 'wazazi' wako, hapo sawa. Lakini kama ni lile ulilopewa na waliokuzaa, juhudi zako za kuanzisha ukoo mpya unaouita ukoo wako ni bure. Kwani mizimu ya ukoo wa babako utaendelea kukutafuna kupitia jina hilo.Jina langu mimi,uzuri jina langu sio la kizungu wala kiarabu
😁😁😁😁Kupanga ni kuchagua. JF tunakupa baraka zote na kama ukiweza anzisha na nchi yako kabisa mkuu
Utaanzisha lugha yakoNinao mpango kama huu maana Ukoo wa Mzee miyayusho sana, Mimi nitaenda mbali zaidi nitaanzisha kabila jipya kabisa sio ukoo tu. Lengo ni kufa na kuacha kabila la watu wasiopungua 500 ikiwa ni jumla ya Watoto, wajukuu na Wake watakaokubali kuambatana nami.
Hata kubaki hapa TZ siyo ndo kufanikiwa, nenda popote moyo unapokutumaVery interesting mkuu.
Maisha haya jamani.
Je kuna wakati unawa miss ndugu zako?
Ulivyofanikiwa hawajaanza kujipendekeza?
Unaonaje utoe uzi uwaeleze vijana kuwa kwenda ughaibuni sio guarantee ya kufanikiwa na uwaambie hata hapa Tz unaweza kufanikiwa?
(Sorry kama swali litakukwaza)
Tanzania ni kubwa sana,leo hii Katavi imekuwa mkoa wa wasukuma,mimi nimezaliwa mjini kabisal, lakini nina amani huku Manyara naishi kama peasant wengine tu maisha nayafurahia ,hakuna haja ya kukimbilia nchi za watu Kama hujajipanga au kabla ya kujaribu fursa maeneo mengine ya nchi yetuVery interesting mkuu.
Maisha haya jamani.
Je kuna wakati unawa miss ndugu zako?
Ulivyofanikiwa hawajaanza kujipendekeza?
Unaonaje utoe uzi uwaeleze vijana kuwa kwenda ughaibuni sio guarantee ya kufanikiwa na uwaambie hata hapa Tz unaweza kufanikiwa?
(Sorry kama swali litakukwaza)
Sio kigumu inategemea umezaliwa wapiNi mwandishi na sio "muandishi". Anyway umeona kiswahili kilivyo kigumu eeh, Sasa acha kukosoa kosoa sana cha msingi ujumbe umefika.
Hakika.Utaanzisha lugha yako
Bila picha hii itakuwa chai , tupia hata picha ya bweni tafadhariKuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.
Mimi yakiwahi kunikuta,ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu.
Dunia ina rangi nyingi sana,hakuna rangi sukuona,ndugu walinitenga sana,upendo wa wazazi sikuuona kabisa.
Mwaka 2013 rafiki yangu akanishauri kutafuta maisha mkoa X,nilienda na silingi laki moja ila jamaa alikuwa mwenyeji maeneo yale na tulifanikiwa kufanya biashara ta kulangua mazao ya mbogamboga,tunanunua nyanya,hoho,vitunguu au pilipili na kutuma dar,
Ndani ya mwakammoja nilikuwa na akiba yakutosha bank,kumbuka hapo hakuna ndugu anayejua nilipo .
Niliweza kukodi mashamba na kujikita kwenye kilimo.
Ule mkoa ulikuwa na wanawake wazuri sana wanaokuja kuomba vibarua shambani,sikubaki nyuma nilikuwa naingia nao kwenye mahusiano mafupi au marefu
Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30 na wanatumia ubini wangu,
Zoezi la uzalushaji linaendelea,ninunua shamba kubwa mbali na wanakiji kwagharama ya milioni tano tu,eneo lilikuwa msitu nilifyeka na juanza ufyataji wa tofali za kuchoma,kuchimba kisimana ujenzi wa vijumbaslooes kumi kwa wake zangu,nimejenga pia bweni dogo kwa ajili ya watoto wa kiume.
Nikiwa kijijini mimini mwanakijiji aswaa,nikiwa Dar naishi kwenye single room
Naweza kusema nina nafsi mbili.
Mojani ile ya village lifena nyingine ni urban life.
Lengo langu ni kutimiza watoti 50 ,sina ndugu ninayewasiliana nae zaidi ya wana JF nyie ndio ndugu zangu pamoja na watoto wangu na wanawake wanne niliozaa nao,ambao walikubali niishi nao kijijini
Watoto wangu hawawajui shangazi zao wala baba wadogo/wakubwa,bibi wala babu
Inawezekana kabisa kuanzisha ukoo wako hujachelewa ndugu yangu
Tofauti ba ujinga ujinga ninaopost humu mimi ni mtu mzima,mwaka 1986 kombe la dunia,nilikuwa na miaka 8 niliangalizia nyumbani kwa Sheikh Yahya,magomeni,aliweka screen kubwa sana pale nje size ya kioo cha mbele cha fuso,pembeni kaoaki limossine yake milango sita
Mtibwa ogKuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.