Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30
Mkuu hapa Kwa wastani kila mwaka ulikua unapata watoto watatu, wastani wa kila baada ya miezi minne ulikua unapata mtoto. Uliwezaje kuudumia mfulizo huo wa mimba na Sasa watoto wako 30 wanapata malezi stahiki ya mdingi au ndio mateso.
 
Ungekuwa unaishi miaka mingi kama zama za mfalme suleman hapo sawa,ila hii ya sasa ni sawa na kukimbiza upepo.
 
Legacy bro hata nikifa uzao wangu utasimama badala yangu,kwani unamfahamu babu wa baba yako?
 
Mkuu hapa Kwa wastani kila mwaka ulikua unapata watoto watatu, wastani wa kila baada ya miezi minne ulikua unapata mtoto. Uliwezaje kuudumia mfulizo huo wa mimba na Sasa watoto wako 30 wanapata malezi stahiki ya mdingi au ndio mateso.
Kawaida sana kwa kijijini,vyakula vingi sinunui,nifungue code tu niko Manyara porini ardhi nzuri sana
 
Kwa hiyo huo ukoo wako ni wa kabila gani chief?
 
Kawaida sana kwa kijijini,vyakula vingi sinunui,nifungue code tu niko Manyara porini ardhi nzuri sana
Kuna kuumwa mwana familia, kupeleka shule watoto makazi nk. Hizo gharama uliwezaje kuzimudu ? ukizingatia ww ulienda kijijini na laki.
 
Kuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.

Mimi yakiwahi kunikuta,ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu.

Dunia ina rangi nyingi sana,hakuna rangi sukuona,ndugu walinitenga sana,upendo wa wazazi sikuuona kabisa.

Mwaka 2013 rafiki yangu akanishauri kutafuta maisha mkoa X,nilienda na silingi laki moja ila jamaa alikuwa mwenyeji maeneo yale na tulifanikiwa kufanya biashara ta kulangua mazao ya mbogamboga,tunanunua nyanya,hoho,vitunguu au pilipili na kutuma dar,

Ndani ya mwakammoja nilikuwa na akiba yakama milioni 8 bank,kumbuka hapo hakuna ndugu anayejua nilipo .

Niliweza kukodi mashamba na kujikita kwenye kilimo.
Ule mkoa ulikuwa na wanawake wazuri sana wanaokuja kuomba vibarua shambani,sikubaki nyuma nilikuwa naingia nao kwenye mahusiano mafupi au marefu

Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30 na wanatumia ubini wangu,

Zoezi la uzalushaji linaendelea,ninunua shamba kubwa mbali na wanakiji kwagharama ya milioni tano tu,eneo lilikuwa msitu nilifyeka na juanza ufyataji wa tofali za kuchoma,kuchimba kisimana ujenzi wa vijumbaslooes kumi kwa wake zangu,nimejenga pia bweni dogo kwa ajili ya watoto wa kiume.

Nikiwa kijijini mimini mwanakijiji aswaa,nikiwa Dar naishi kwenye single room

Naweza kusema nina nafsi mbili.
Mojani ile ya village lifena nyingine ni urban life.

Lengo langu ni kutimiza watoti 50 ,sina ndugu ninayewasiliana nae zaidi ya wana JF nyie ndio ndugu zangu pamoja na watoto wangu na wanawake wanne niliozaa nao,ambao walikubali niishi nao kijijini

Watoto wangu hawawajui shangazi zao wala baba wadogo/wakubwa,bibi wala babu

Inawezekana kabisa kuanzisha ukoo wako hujachelewa ndugu yangu

Tofauti ba ujinga ujinga ninaopost humu mimi ni mtu mzima,mwaka 1986 kombe la dunia,nilikuwa na miaka 8 niliangalizia nyumbani kwa Sheikh Yahya,magomeni,aliweka screen kubwa sana pale nje size ya kioo cha mbele cha fuso,pembeni kaoaki limossine yake milango sita
Manpower
 
Mkuu uulienda mkoa gani
 
Ni mwandishi na sio "muandishi". Anyway umeona kiswahili kilivyo kigumu eeh, Sasa acha kukosoa kosoa sana cha msingi ujumbe umefika.
Mkuu amepuyanga dakika zote tisini eti UWANDISHI badala ya UANDISHI...

Amejifanya yeye Taasisi ya Kiswahili lakini ameingia kwenye mfumo.
 
Back
Top Bottom