Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

Jina langu mimi,uzuri jina langu sio la kizungu wala kiarabu
Kama jina hilo si lile ulilopewa na 'wazazi' wako, hapo sawa. Lakini kama ni lile ulilopewa na waliokuzaa, juhudi zako za kuanzisha ukoo mpya unaouita ukoo wako ni bure. Kwani mizimu ya ukoo wa babako utaendelea kukutafuna kupitia jina hilo.
 
Ninao mpango kama huu maana Ukoo wa Mzee miyayusho sana, Mimi nitaenda mbali zaidi nitaanzisha kabila jipya kabisa sio ukoo tu. Lengo ni kufa na kuacha kabila la watu wasiopungua 500 ikiwa ni jumla ya Watoto, wajukuu na Wake watakaokubali kuambatana nami.
Utaanzisha lugha yako
 
Very interesting mkuu.
Maisha haya jamani.

Je kuna wakati unawa miss ndugu zako?
Ulivyofanikiwa hawajaanza kujipendekeza?

Unaonaje utoe uzi uwaeleze vijana kuwa kwenda ughaibuni sio guarantee ya kufanikiwa na uwaambie hata hapa Tz unaweza kufanikiwa?

(Sorry kama swali litakukwaza)
Hata kubaki hapa TZ siyo ndo kufanikiwa, nenda popote moyo unapokutuma
 
Daah kwa tunavoishi na ndugu zangu mkuu upo sahihi kabisa siku hizi hata ukijipendekeza watakuumiza tu bora ufe ukijipambania kuliko kufa ukichekwa na watu wa nyumban kwako hata biblia inasema adui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake mwenyewe Mungu akujalie uzao mwema
 
Very interesting mkuu.
Maisha haya jamani.

Je kuna wakati unawa miss ndugu zako?
Ulivyofanikiwa hawajaanza kujipendekeza?

Unaonaje utoe uzi uwaeleze vijana kuwa kwenda ughaibuni sio guarantee ya kufanikiwa na uwaambie hata hapa Tz unaweza kufanikiwa?

(Sorry kama swali litakukwaza)
Tanzania ni kubwa sana,leo hii Katavi imekuwa mkoa wa wasukuma,mimi nimezaliwa mjini kabisal, lakini nina amani huku Manyara naishi kama peasant wengine tu maisha nayafurahia ,hakuna haja ya kukimbilia nchi za watu Kama hujajipanga au kabla ya kujaribu fursa maeneo mengine ya nchi yetu
 
Naomba nijiunge na ukoo wako mkuu. Mimi sio snitch kama hao ndugu zako
 
Kuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.

Mimi yakiwahi kunikuta,ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu.

Dunia ina rangi nyingi sana,hakuna rangi sukuona,ndugu walinitenga sana,upendo wa wazazi sikuuona kabisa.

Mwaka 2013 rafiki yangu akanishauri kutafuta maisha mkoa X,nilienda na silingi laki moja ila jamaa alikuwa mwenyeji maeneo yale na tulifanikiwa kufanya biashara ta kulangua mazao ya mbogamboga,tunanunua nyanya,hoho,vitunguu au pilipili na kutuma dar,

Ndani ya mwakammoja nilikuwa na akiba yakutosha bank,kumbuka hapo hakuna ndugu anayejua nilipo .

Niliweza kukodi mashamba na kujikita kwenye kilimo.
Ule mkoa ulikuwa na wanawake wazuri sana wanaokuja kuomba vibarua shambani,sikubaki nyuma nilikuwa naingia nao kwenye mahusiano mafupi au marefu

Kwa kipindi cha miaka kumi nimebahatika kupata watoto kama 30 na wanatumia ubini wangu,

Zoezi la uzalushaji linaendelea,ninunua shamba kubwa mbali na wanakiji kwagharama ya milioni tano tu,eneo lilikuwa msitu nilifyeka na juanza ufyataji wa tofali za kuchoma,kuchimba kisimana ujenzi wa vijumbaslooes kumi kwa wake zangu,nimejenga pia bweni dogo kwa ajili ya watoto wa kiume.

Nikiwa kijijini mimini mwanakijiji aswaa,nikiwa Dar naishi kwenye single room

Naweza kusema nina nafsi mbili.
Mojani ile ya village lifena nyingine ni urban life.

Lengo langu ni kutimiza watoti 50 ,sina ndugu ninayewasiliana nae zaidi ya wana JF nyie ndio ndugu zangu pamoja na watoto wangu na wanawake wanne niliozaa nao,ambao walikubali niishi nao kijijini

Watoto wangu hawawajui shangazi zao wala baba wadogo/wakubwa,bibi wala babu

Inawezekana kabisa kuanzisha ukoo wako hujachelewa ndugu yangu

Tofauti ba ujinga ujinga ninaopost humu mimi ni mtu mzima,mwaka 1986 kombe la dunia,nilikuwa na miaka 8 niliangalizia nyumbani kwa Sheikh Yahya,magomeni,aliweka screen kubwa sana pale nje size ya kioo cha mbele cha fuso,pembeni kaoaki limossine yake milango sita
Bila picha hii itakuwa chai , tupia hata picha ya bweni tafadhari
 
Mtibwa og
 
Back
Top Bottom