Ukifanya tukio personalky linakukamata,ila kama ulikuwa unatekeleza order kiserikali inamkamata aliyetoa orderSio kila kilicho kwenye maandiko kina uhalisia, tizama ufalme wa UK wamehusika direct kwenye ukoloni, na vizazi zaidi ya vitatu kwao tayari vimepita bt karma huioni kwao, karma haina uhalisia mkuu.
Kuna nadharia nyingi tunazitumia kujifariji bt ukizichunguza kwa utulivu hazina uhalisia kabisa.
Imebidi nicheke tu, ukifanya ubaya kwa niaba ujue nawe ni mshirika la sivyo unapaswa kujiweka kando.Ukifanya tukio personalky linakukamata,ila kama ulikuwa unatekeleza order kiserikali inamkamata aliyetoa order
Mfano jaji akikuhukumu unyongwe huwezi sema ameua yeye ametimiza wajibu tu.
Wakoni walikuwa kazini kutimiza order ya serikali zao
Kama amehukumu kwa hila kashiriki.Nimekupa mfano wa jaji anamuhukumu mtu kifo,utasema ameua
Hata wakiwa niwake zawatu?SIkuwa na lengo baya sema ile kujua natoka mjini nijikuta kila mwaka naletewa mimba si chini ya tatu,wambulu ni wazuri mno na hawajui kukataa
Mie nilichoka kiukweli asubuhi panakucha sijui niende wapi sijui nitakula nini na kipindi hicho mwanangu mdogo bado ananyonya......nilihamia kwenye pagale langu halina mlango....choo ni mifuko ya cement nimeunga unga simu sina...kila jina baya nilipewa...waliniita mpaka mchawi...mpaka kanisani nilikuwa kama kituko...Kuna siku mahubiri yalinihusu mimi kama mfano...wengine wakasema nina laana...wengine wakasema nina roho mbaya ndio maana sifanikiwi.......AISEE
Mungu ni shahidiMkuu ya kweli haya?????????