Imetimia sasa, Yanga kuanza Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jangwani

Imetimia sasa, Yanga kuanza Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jangwani

Mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Salim Muhammed, ameridhia kwa dhati kushiriki kwenye kufanikisha ujenzi wa uwanja

Kuridhia kushiriki kufanikisha ....What the Sam Hill does that mean??? Maana yake nini ?????

Mtu akijiunga maandamano ya fund raiser ya ujenzi wa bweni la wasichana tayari anakuwa ametimiza ahadi ya kushiriki kufanikisha ujenzi wa bweni la wasichana.... lijengwe, lisijengwe hayamhusu!

Mjanja mwingine huyu anawaingiza chaka Watanzania wajinga wasiojali kusoma makaratasi.....

Halafu mdhamini wa Yanga ni Ghalib mtu au Ghalim kampuni ???? Akijenga kama Ghalib mtu akashindwa kukamilisha au kutimiza vigezo au viwango wakati mshampa nusu ya haki za umiliki au umiliki 100% mkienda mahakamani kumbukeni hamuwezi kugusa mali za Ghalib kampuni.

Kingine, baada ya miaka 10 msije mkalia uwanja hauingiliki, sijui viunga vya uwanja vinajaa maji... Anaweza kupandisha juu uwanja proper, huku nje kwenye parking lot na barabara hawezi kufanya yaliyo mshinda UDART, serikali au KAJIMA. Kwa watoto wadogo, KAJIMA ni Mjapan aliyekuwa anajenga maeneo magumu in the 80s, ndio alijenga Morogoro Road kwenye mkondo wa maji Jangwani. Pameshindikana.
 
Reporting yako haiko sawa, MISLEADING. Habari ni kuwa GSM itashiriki ujenzi (itatoa fedha za ujenzi)-ahadi au commitment. Na si kwamba Ujenzi unaanza kama ulivyoreport.

Ingawa ni Habari njema, na ni step ahead. Maana changamoto kuu ilikua ni Source of fund.
 
Reporting yako haiko sawa, MISLEADING. Habari ni kuwa GSM itashiriki ujenzi (itatoa fedha za ujenzi)-ahadi au commitment. Na si kwamba Ujenzi unaanza kama ulivyoreport.

sasa kama wanatoa hela kwa nini ujenzi usianze ????

na kushiriki ujenzi maana yake nini, wanatoa hela yote au kamchango kama sunah???


na sio GSM itashariki. Ni Ghalib atashiriki. Kama mtu! Kwa mujibu wa andiko la Yanga wenyewe! Anaweza kushiriki kwenye matembezi ya fund raising! Manake hawajasema atatoa hela!

Usimhukumu mleta mada ambae amebandika tangazo kama lilivyo! Soma tangazo la Yanga! Msituingize mikenge kama ilivyo kawaida.
 
Back
Top Bottom