Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

So JK alijificha.

Sasa unaniuliza mimi. Kwani mimi nimesema jk alikuwa Adui?
Embu kasome niliyemnukuu. Yeye anasema JK hakuwa rafiki wa Lowasa mimi nikamwambia Juzi JK kasema walikuwa marafiki Wakubwa.

Wewe ukasema kwenye msiba Watu Husema hivyo nikakujibu wapo waliohojiwa hawakusema wao ni marafiki wa Lowasa kwa sababu inajulikana.
Urafiki sio Siri
 
Ni ukweli kwamba Jk alimsaliti Edo kisa alitaka ndugu yake Membe ndio awe. Wajumbe wa halmashauri kuu walipoona Jk amemkata Edo, nao wakalipiza kwa kumkataa Membe- ikumbukwe Lowasa alikuwa na ufuasi mkubwa ktk halmashauri.
Usiseme watu waweke hard evidence - here is not a court of law, it's a court of public opinion
 
N
Ndugu umeamua kujizima data na uonekane kituko. Watanzania sio wajinga kama zamani. Kila kitu kipo wazi. Kikwete, ndiye fisadi mkuu wa Richmond. Lakin akamtupia zigo Lowasa. Ndio maana, unaona hata, Mwanasheria muongo mwakyembe aliyepangwa na JK ili kumchafua Lowasa,hakuonekana.Kikwete , aliamua kumtoa Lowasa kweye U PM, kwa kuwa, Lowasa, alikuwa, anaonekana kama Rais kuliko yeye.Pili, JK akiwa mwenyekiti wa CCM aliondoa jina la Lowasa kwenye kinyanganyiro cha Urais wa, CCM,ili nduguye membe awe Rais. Lakin Mungu hakukubali. CCM wote wanajua Hilo. Hayo mashambulizi anayopata ni mwanzo tu. Bado atakuja kuhaibika. Uhuni aliowafanyia watu wengine ataumbuka tu. Mungu ni mkubwa ndugu. Endelea kujizima data.
 
Nionyeshe usafi wa JK kidogo tu?

Kuna mtu mlafi kama huyo?
Bonge la muongo
Bonge la fisadi.

Rejea Escrow, Richmond nk
Richmond na ESCROW ziliibuka JK akiwa rais sawa na si sahihi kusema kwamba mabaya yote yaliyotokea kipindi ch awam ya nne yalifanywa na JK.
 
Katika hilo kundi nani alikuwa na ushawishi zaidi ya Mwenzake?
ni lowassa, mzee wa watu alijitahidi kuweka mitandao yao sawa ya kutwaa madaraka kwa matumaini kwamba rafiki yake naye atakuja kumsaidia lakini akatoswa mbali achafuke ashindwe kuwa na sifa ya kufikia maono yake
 
Katika hilo kundi nani alikuwa na ushawishi zaidi ya Mwenzake?
ni lowassa, mzee wa watu alijitahidi kuweka mitandao yao sawa ya kutwaa madaraka kwa matumaini kwamba rafiki yake naye atakuja kumsaidia lakini akatoswa mbali achafuke ashindwe kuwa na sifa ya kufikia maono yake
 
Kuna mambo mawili:
1. Kushinda urais.
2. Kutangazwa mahindi wa urais.
 
Huyo mzee ni zaidi ya mchawi....na bado damu ya JPM inamsubiri...atadedi kwa mateso sana
 
hii ni hoja mjarabu,iliyoandikwa kuwaweka sawa,wale wasiojua kuhusu urais,mbona Salim hakuupata uraisi,kwahiyo watu wake nao watukane?Urais anautoa Mungu pekee,kwani nani alitegemea Mzee Mwinyi angekuwa rais?
Acheni unafiki,mwacheni Jk apumzike shubamiti
 
So what ? Ni lazima kufanya hivo ?they were never friends , ni watu wanaofahamiana tu .

Sio lazima kumjulia hali, kuna sheria inasema ni lazima aende?

Msilazimishe vitu ambavyo HAVIPO
Lowassa was not a saint , ni mtu kama watu wengine
na angeenda wangesema kaenda kumjoki au kumuua.
 
LILAAAAAAAXXXX
 
Kikwete ATASEMWA MILELE UTAKE USITAKE KWANZA WEWE NI NANI KATIKA NCHI HII MPAKA UTUZUIE?
 
Nakwambia hivi, last say ya Lowassa asiwe rais ilikuwa mikononi mwa Kikwete. WanaCCM walishaamua Lowassa awe mgombea wao na watanzania walishaamua Lowassa awe rais wao, lakini JK akasema never, never, never forever.
we ni mpumbavu unakumbuka marehemu mkapa alivyouzima uke wimbo wa tunaimani na lowassa ambao uliimbishwa na nchimbi na sofia simba? sasa mkapa ndio kikwete?
 
Pia Mungu ni mkubwa kuna mpango mkubwa sana ulikuwa unaandaliwa wa kuila nchi hii kupitia,uraisi wa edo lakini Mungu aliuzima
 
Kitu muhim unachotakiwa kujifunza hapa usimuamin binadamu hasa akiwa mzaramo.
 
Afadhari ya mchawi unajua ni adui kuliko huyo Mzee wa msoga.
Ningekuwa ni mimi ningeandika Wosia kabisa nikifa asifike msibani wala sitaki kuzikwa na chama cha wanafiki.
Nimefurahi maamuzi ya familia kuto onesha mwili wa Lowasa kwa wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…