Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.
Me sijali nan kawa nan ila my concern ni hapo uliposema kwenye reputation, Yan ukiongelea reputation kuharibika ccm haiogopi hicho labda kama kuna sababu zingine, kama ingekuwa inaogopa kuharibu reputation yake leo hii paulo angekuwa gerezani au angekuwa hayupo kwenye inner circle ya raisi wa nchi hii, nachoweza kusema ni kwamba mtu yeyote ataeweza kuwa na maslai mapana ya mtu aliepo madarakani au aliekuwepo madarakan ana uwezekano mkubwa wa kuwa kiongozi nchii hii and the loop is infinity, na hapa ndio upuuz wa vyama vya siasa kwenye hii nchi…Na hii yote ni sababu ya katiba mbovu , kwa katiba hii iliopo, hii nchi itaongozwa na ukoo wa kina kikwete na rafiki zake wa karibu au nasema uongo mzee, ?
 
Una uhakika wanaccm wote walitaka Edo awe Rais? Na uhakika gani unao kwamba watanzania waliamua Edo awe Rais wao?

Huwa mnafanyia wapi tafiti zenu? Acheni kujidanganya kwenye vijiwe vya kahawa mnaokoteza vijistori basi unakimbilia Jf.

JK hana mamlaka ya kuwachagulia watanzania nani awe Rais bali mchakato unaanzia ndani ya chama kisha wanaachiwa watanzania waamue.

Kama watanzania waliamua Edo awe Rais mbona alivyoenda upande wa pili hakufanikiwa kuwa Rais?

Uko sahihi hapo unaposema kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais huanzia ndani ya chama Chao na sio maamuzi ya mtu mmoja. Lakini hapo unaposema kuwa kisha wananchi wanaachiwa waamue hilo sio kweli. Kwa hii nchi yetu na vyombo vyote vya maamuzi, mgombea akishatoka ccm huyo ndio atakuwa rais bila kujalisha wananchi wametaka Nini. Na ushahidi wa hilo upo.
 
Sasa JK mwenyewe juzi kasema walikuwa marafiki wakubwa alafu wewe unasema hawakuwahi kuwa marafiki. Bado unataka tukuchukulie Serious kwa ulichoandika.

Ni Wajínga pekee watakaochukulia maoni yako kwa uthabiti. Hii ni kama futuhi.

Ulitegemea JK aseme hawakuwa marafiki wakubwa hadharani kwenye huo msiba? Mkuu Yale maneno hutoka automatic kwa Kila mtu akienda kwenye msiba wa marehemu.
 
Wapo wengi wamehojiwa hawajasema neno kuwa walikuwa marafiki.
Neno rafiki kwa Watu wazima na Watu wakuu ni neno kubwa sana.
 
Megalodon skia unajua ukisikiliza vizuri interviews za JK kwa kiasi furani zipo sehem anaonesha Guilty juu ya ED hasa ishu ya Richmond 2008.

In fact JK alipata tamaa ya pesa kwa kushirikiana na Mastermind RA(Rosti tamu) kwnye upigaji wa Kampuni hewa ya richmond, ishu haikupaswa kuisha vile. Mbona mambo mengi yanaonesha ubaya wa huyu bwana. H
 
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.
Ikifika July 2024 utanikumbuka!
Huyu ni shida na ndiye mpanga deal
 
Wewe nawe ni hopeless.

Suala hapa siyo Lowasa kuwa Rais bali ushetani wa Kikwete katika kudhulumu haki za watu. Shetani huyu hakudhulumu tu haki ya Lowasa kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM, hakudhulumu tu ushindi wa Lowasa akiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, lakini pia alidhulumu ushindi wa Maalim Seif kule Zanzibar, alidhulumu pia haki ya Dr. Ulimboka kupaza sauti kwa niaba ya madaktari wenzake.

Wajinga badala ya kuangalia msingi wa lawama dhidi ya Kikwete wanakimbilia kusema eti watu walitaka Kikwete amgawie Urais Lowasa. Hopeless kabisa.

Anayedhulumu ni shetani, haijalishi ni Kikwete au awaye mwingine yeyote. Kikwete ni shetani mwenye mbinu zote za kishetani, atakuhadaa kwa tabadamu la uwongo kumbe moyoni mwake anapanga uovu mkubwa dhidi yako. Shetani wa namna hii ni hatari kuliko shetani anayeonekana ni adui wa moja kwa moja.
 
Me sijali nan kawa nan ila my concern ni hapo uliposema kwenye reputation, Yan ukiongelea reputation kuharibika ccm haiogopi hicho labda kama kuna sababu zingine, kama ingekuwa inaogopa kuharibu reputation yake leo hii paulo angekuwa gerezani au angekuwa hayupo kwenye inner circle ya raisi wa nchi hii, nachoweza kusema ni kwamba mtu yeyote ataeweza kuwa na maslai mapana ya mtu aliepo madarakani au aliekuwepo madarakan ana uwezekano mkubwa wa kuwa kiongozi nchii hii and the loop is infinity, na hapa ndio upuuz wa vyama vya siasa kwenye hii nchi…Na hii yote ni sababu ya katiba mbovu , kwa katiba hii iliopo, hii nchi itaongozwa na ukoo wa kina kikwete na rafiki zake wa karibu au nasema uongo mzee, ?

Uko sahihi kabisa kwa haya maelezo yako, utakuta watu wanasema sijui inner circle, unaweza kudhani ni watu makini sana, kumbe maamuzi Yao huendana na usalama wa maslaha Yao binafsi. Katika mazingira hayo yoyote anaweza kuwa rais, Ili mradi hiyo inner circle iwe na uhakika wa maslahi Yao kulindwa.
 
Jinga kabisa wewe kama unataka uaminike kwa huu uharo wako uliharisha hapa ni kwa nn huyo jk alilikata jina edo kwenda kwenye kamati kuu ili ijulikane ni kweli alikuwa hatakiwi.

Jk anasababu za kulaumiwa kwa kupindisha mchakato wa kimaamuzi kwa kukata jina la lowasa kwakuwa alijua atachaguliwa tu kwa vyovyote vile.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app

Weka data acha fantasy na streets words . The inner circle was not one man show . It was Team work of not less than 12 members .

How did you come to the conclusion that JK was the reason , naomba uweke data evidence based.

Na the inner Circle haikufanya screening kwa Edo tu, as I rember walio apply walikuwa not less than 40 ; Screening ikatembea, only 5 members were taken into consideration based on established criteria.

Lowasa was among ambao hawakupita kwenye screening; he did not meet some of the criteria, hence the elimination policy, kuna tatizo ?

Mbona wengine waliokuwa eliminated akiwemo gharibu na wengine hatusikii fujo baada ya hapo; ?

kwani Lowasa alikuwa ni nani ? Si alikuwa ni waziri kama wengine, au yeye alikuwa so special hapati haja kubwa or farting ?

Ukisoma hapa wengi wanaoimba usaliti they can not prove beyond doubts Usaliti how ?

Maoni mengi hayana data supports and yapo emotional and subjective; kwenye ulimwengu wa sasa with technology and data science development; ukiongea make sure unaacha hisia na unaongea kwa data ambazo can be checked and verified na mtu yoyote
 
Nikikuita mpuuzi nitakuwa nimekuonea mkuu?
Kama hilo jina halifai nikuiteje?

1. Ikiwa Lowassa hakufaa yaani mchafu na fisadi, ilikuwaje katika watu wote mtu msafi JK amteue EL kuwa meneja wa kampeni?

2. Kwanini mtu msafi kama JK awe na urafiki na fisadi EL?

3. Ilikuwaje mtu msafi kama JK amteue EL kuwa Waziri mkuu?

Hujawahi kusoma kuwa ndege wafananao huruka pamoja?

Kwa hitimisho...huoni mazingira tu yanaashiri JK hakuwa tu fisadi bali ni muongo na msaliti kwa EL?
 
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.

KIKWETE kasema hadharani kuwa kazi yake ilikuwa Kuja na Majina 5.Na katika hayo majina Lowasa hakuwemo. Hivyo kazi ya JK ilikuwa pia kuliondoa jina na anayedai kuwa Rafiki yake.
 
Wapo wengi wamehojiwa hawajasema neno kuwa walikuwa marafiki.
Neno rafiki kwa Watu wazima na Watu wakuu ni neno kubwa sana.

Kuna aliyesema Lowassa alikuwa adui yake hata kama hajatumia neno rafiki? Au umewahi kusikia mtu yoyote anahojiwa kwenye msiba wowote akasema marehemu alikuwa adui yake?
 
Kwenye misiba wanaenda Watu wafuatao, wazazi, ndugu, marafiki, jamaa, na maadui.
Usipokuwa rafiki haimaanishi ni adui. Kuna jamaa
 
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.

Wewe ni nani kukanusha wakati chama chake mwenyewe ndiyo cha kwanza kumunyooshea kidole JK na kumsuta hadharani kupitia kwa katibu mwenezi mara tu baada ya msiba kutokea? Unajifanya unaijuwa CCM kuliko inavyojijuwa yenyewe?
 
Hata bashe alitweet kumsema JK
 
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?

Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?

Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.

Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;

Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?

Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.

Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?

Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.

Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?

The story is myth , it never happened but it happens always !

JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !

Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .

JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?

Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .

JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu

Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.
Ogopa mswahili
 
Wewe nawe ni hopeless.

Suala hapa siyo Lowasa kuwa Rais bali ushetani wa Kikwete katika kudhulumu haki za watu. Shetani huyu hakudhulumu tu haki ya Lowasa kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM, hakudhulumu tu ushindi wa Lowasa akiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, lakini pia alidhulumu ushindi wa Maalim Seif kule Zanzibar, alidhulumu pia haki ya Dr. Ulimboka kupaza sauti kwa niaba ya madaktari wenzake.

Wajinga badala ya kuangalia msingi wa lawama dhidi ya Kikwete wanakimbilia kusema eti watu walitaka Kikwete amgawie Urais Lowasa. Hopeless kabisa.

Anayedhulumu ni shetani, haijalishi ni Kikwete au awaye mwingine yeyote. Kikwete ni shetani mwenye mbinu zote za kishetani, atakuhadaa kwa tabadamu la uwongo kumbe moyoni mwake anapanga uovu mkubwa dhidi yako. Shetani wa namna hii ni hatari kuliko shetani anayeonekana ni adui wa moja kwa moja.

Weka data acha emotions
 
This is too subjective brother, it does not nullify the claim that JK ni msaliti!

Weka data

Suala la kwenda kumuona akiwa anaumwa, hata mimi sikwenda, je ni usaliti?

Kwani ni sheria kumuona EDO ?

Weka data tuache hisia

Kosa la JK ni lipi kwa EDO , usaliti ni upi

Au ndio
Kikombe cha babu kuwa kila mtu anakunywa bila ya kuwa na why and how

Nikikuita mpuuzi nitakuwa nimekuonea mkuu?
Kama hilo jina halifai nikuiteje?

1. Ikiwa Lowassa hakufaa yaani mchafu na fisadi, ilikuwaje katika watu wote mtu msafi JK amteue EL kuwa meneja wa kampeni?

2. Kwanini mtu msafi kama JK awe na urafiki na fisadi EL?

3. Ilikuwaje mtu msafi kama JK amteue EL kuwa Waziri mkuu?

Hujawahi kusoma kuwa ndege wafananao huruka pamoja?

Kwa hitimisho...huoni mazingira tu yanaashiri JK hakuwa tu fisadi bali ni muongo na msaliti kwa EL?
EL alibadilika Baadaye kama shetani alivyombadilikia Mungu. Baada ya EL kubadilika JK akamkacha kama Mungu alivyomkacha shetani!
 
Back
Top Bottom