Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Kwahiyo alimroga?

Au kuukosa Urais ndio kulimpa maradhi?, kwahiyo ilikuwa lazima awe Rais?

Maradhi kama yalisababishwa na kuukosa Urais duh hii itakuwa kali ya mwaka.
Kama alipigwa kitu, basi jua ilikuwa akuanzaye mmalizaye maana hiyo ndio style ya Mkwere yule.
Walikubaliana hivyo toka kwenye kampeni za kikwete na Edo akajipanga kupokea kijiti kumbe mwenzake ni kikulacho.....
 
Wewe mtetee tu, lakini kaa ukijua msingi wa matatizo ya afya ya Lowassa unaelezwa kuchangiwa na fitna za mzee wa Msoga.

Yule ni kigagula wa kikwere.
Endelea kuamini hadithi za vijiweni na kuja kuharisha hapa kama ulivyozipokea.

Ungekuja na concrete evidence ama facts hapo tungesema una hoja.

Lakini hizi hearsay tu unazokuja nazo hapa ni sawa na umbea wa akina mama.
 
Tulitaka JK ama aombe radhi kwa ubaya wote aliomtendea marehemu au akae kimya, kuliko kujivika unafiki wa kishirikina kutoka huko msoga ndani ndani.
Sio unafiki, kila mtu ana mazuri na mabaya take, ukiwa Hai unapewa za usoni kuhusu ubaya wako WOTE, siku ukifa uzuri uliozikwa miaka Kenda unafukuliwa. MZANZIBARI NAWE WACHA UNAFIKI JITINGE KWENYE UKWELI
 
Wanamuonea tu mzee wa watu, Lowasa alishakataliwa na mfumo tangu enzi za Nyerere. JK asingesaidia chochote Lowasa kupata urais. System ilishamkataa tangu zamani.
 
Shida ilikuwa ni afya ya Lowassa ndio maana CDM walimpa nafasi lakini watu walivyosikia ana jiharibia jukwaanu na hana habari mlitegemea wananchi waamue nini?
Urais wanaamua wapiga kura.
 
Umewaza kama nlivokua nawaza uraisi mfumo na mfumo ndo ulimkata lowasa first....Lowasa ni kkkt na mfumo unamtaka Rc mpk hapo JK angefanya nn kwa mfano na je jk pekee ndo alikua na maamuz dhid ya kina mzeee mkapa??
Hili nalo neno (mfumo ulichangi Pakubwa lkn hilo halisemwi)
 
Back
Top Bottom