UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Acha asemwe tu, hata akiamua kujinyonga ni sawa tu. Rais wa ovyo kuwahi kutokea nchini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio unaanzisha Uzi makusudi Ili mzee Kikwete ashambuliweHakuna ubaya aliyofanya JK hata mmoja;
Unataka kuniambia JK ndio alikuwa ni last say nani awe Rais au asiwe? Au mlitaka amwambie lowassa asichukue form ?
Naomba kurudia tena, decision ya nani aende nani asiende, sio individual decision , ni group decision yaani inner circle wale ma elite. Kama elite wapo 12 , mmoja atakuwa na nguvu ya kuamua maamuzi ya wote ?
Edo alishakataliwa first day , JK anaingiaje ?
Au nafasi ya Urais ni ushikaji na family decision! ?
Kosa la JK lipo wap?
Wekeni hard evidence
Ishu ya Richmond , Edo hajui taratibu za utumishi na namna govt inafanya kazi ?
Kama kweli alipikiwa zengwe, then he was never smart and unfit for the throne
Mwanga😁Akiwa hai hakukwenda kumjulia hali....
Akiwa hai hakumsifia kwa mema....
Alipokufa akakimbilia kumzika...
Alipokufa akakimbilia kumsifia...
JK kama sio mchawi atakuwa nani?
Kwahiyo alimroga?Wewe mtetee tu, lakini kaa ukijua msingi wa matatizo ya afya ya Lowassa unaelezwa kuchangiwa na fitna za mzee wa Msoga.
Yule ni kigagula wa kikwere.
Mkuu, kutokana na hii mada yako, hivi ni kwamba unalalamika, unashauri, unashutumu, unahitimisha, ama unaweka msisitizo? Ni haki ya kikatiba ya watu kutoa maoni yao, haijalishi kama yanakufurahisha ama la.Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo?
Who is lowassa by the way kwenye nchi hiyo kwamba ilitakiwa ni lazima aje kuwa Rais wa JMT?
Lowassa hakuonekana kama ana maadili ya kuwa Rais, Jamii iliyomzunguka ndio ilimuona HAIFAI tangu na baada.
Suala la kumuondoa Lowassa halikuwa ni maamuzi ya JK binafsi. yalikuwa ni maamuzi ya Inner Circle na JK hana uwezo wa kumuahidi mtu nafasi kubwa kama hiyo yenye maamuzi ya wengi ni ujinga kuona hata wasomi wanaimba wimbo wa usaliti;
Chadema pia ilimkataa lowassa first hand na wao ndio walisema CCM inaenda kumsimamisha FISADI, au tuweke ushahidi?
Mlitaka kamati ya CCM ipoteze reputation kumsimamisha lowassa? He is just a human na kufa kila mtu atakufa na kifo sio ishara ya huruma.
Kwamba JK alimsaliti lowassa kwani nafasi ya Urais ni ushikaji au ni nafasi ya familia ? Anatoa tu subjectively !?
Kuwa Rais ni competency na acceptance ya watu wako , Lowassa was destined to be the president that never was.
Kumlaumu JK kwa failure ya Edo ni sawa na kumlaumu Shetani kwenye mythical story ya Adam na Eva kwenye imaginary garden. If it was meant Adam na Hawa waishi kwenye garden , kwanini serpent the deceiver nae akawa sehemu ya garden?
The story is myth , it never happened but it happens always !
JK aachwe na hana kosa wala baya, na hakuwa anamtaka hata huyo JPM, that should tell kuwa hata angetaka lowassa apite, the inner cycle ilishasema NO !
Jk had to respect the agreed decision or else arudishe kadi ya CCM, simple like that .
JK this JK that , by the way kwani lowassa ni Nani? Si ni mtu kama watu wengine waliowahi kuutaka urais na kuukosa, anatofauti gani na hao ?
Yaani unautaka Urais kwa kutegemea favor za mtu fulani, he was supposed to fight for his own course na sio ushikaji sijui tumetoka mbali, it never worked that way .
JK hana baya na azidi kuishi maisha marefu
Mkafanye kazi sasa ; lowassa wa watu kaenda zake kwa amani apumzike.
Aombe radhi kwa lipi? Hii nchi ina wapumbavu wengi sana.Tulitaka JK ama aombe radhi kwa ubaya wote aliomtendea marehemu au akae kimya, kuliko kujivika unafiki wa kishirikina kutoka huko msoga ndani ndani.
Ni kiongozi gani aliwahi kusifiwa akiwa hai? Wapo waliokuwa wanamchukia Magufuli lakini alipofariki walimsifia.Akiwa hai hakukwenda kumjulia hali....
Akiwa hai hakumsifia kwa mema....
Alipokufa akakimbilia kumzika...
Alipokufa akakimbilia kumsifia...
JK kama sio mchawi atakuwa nani?
Lowasa aliwahi kutoka hadharani kulalamika kwamba JK ndiye alimsaliti?Ukweli unaujua Ila umetanguliza tumbo lakombele kuliko utaifa.
Kwani umeahidiwa Nini Hadi unajichafua kiasihichi?
Mkuu watu wengi humu wanaendeshwa na mihemko wala sio facts. Eti JK alaumiwe kwa EL kukosa urais?This is too subjective brother, it does not nullify the claim that JK ni msaliti!
Weka data
Suala la kwenda kumuona akiwa anaumwa, hata mimi sikwenda, je ni usaliti?
Kwani ni sheria kumuona EDO ?
Weka data tuache hisia
Kosa la JK ni lipi kwa EDO , usaliti ni upi
Au ndio
Kikombe cha babu kuwa kila mtu anakunywa bila ya kuwa na why and how
Una uhakika wanaccm wote walitaka Edo awe Rais? Na uhakika gani unao kwamba watanzania waliamua Edo awe Rais wao?Nakwambia hivi, last say ya Lowassa asiwe rais ilikuwa mikononi mwa Kikwete. WanaCCM walishaamua Lowassa awe mgombea wao na watanzania walishaamua Lowassa awe rais wao, lakini JK akasema never, never, never forever.
Kama walikutana kikazi ndiyo inahalalisha kwamba wana ahadi ya kupeana urais?Wewe uliielewa ile kauli kuwa “Kikwete na mimi hatukukutana barabarani”?
Unataka kujilinganisha na Kikwete kwa Edo?
Akili yako haiko sawa, na hauna ubinadamu.So what ? Ni lazima kufanya hivo ?they were never friends , ni watu wanaofahamiana tu .
Sio lazima kumjulia hali, kuna sheria inasema ni lazima aende?
Msilazimishe vitu ambavyo HAVIPO
Lowassa was not a saint , ni mtu kama watu wengine
Kwa hivyo hao wanao mremba Lowasa nao WOTE NI wanawake?Mwanamke akikupenda anakupigania sana. Sisi wanaume hatuwezi hivi.
So what ? Ni lazima kufanya hivo ?they were never friends , ni watu wanaofahamiana tu .
Sio lazima kumjulia hali, kuna sheria inasema ni lazima aende?
Msilazimishe vitu ambavyo HAVIPO
Lowassa was not a saint , ni mtu kama watu wengine