Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

hii ni dalili ya usongo wa mawazo
 
Lowasa aliwahi kutoka hadharani kulalamika kwamba JK ndiye alimsaliti?

Au ni mawazo yako tu yanakupeleka na kukuendesha? Maana hakuna mahali Lowasa alimtaja JK kwa kumsababishia baya lolote.
Wapi nimemtaja kikwete?
Au umerogwa?
 
ni kwa vile hujui kitu
 
Yaaah kuna siku atakuja kupewa uraisi chizi mmoja na watu wasiamini macho yao kisa tu wale wanufaika wa hicho cheo wameona atawafaa kwa maslai yao, hiyo ni hatari sana mkuu
 

Mkuu Kuna alama ya kuuliza kwenye sentence yangu?
 
Ndani ya wiki hii kumekuwa na maneno mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na haswa baada ya kifo cha aliwewahi kushika nafasi adhimu ya uwaziri mkuu hayati Edo.
Watu wengi wamekuwa wakiongea na kumsema JK bila woga na wasiwasi na huku wakiwa hawana ushahidi wa vyote wanavyoviongelea.
Ni vyema tuwaache viongozi wetu wastaafu wapumzike maana wamelitumikia taifa hili kwa weledi na uzalendo.
 
Jk alipe watu Ili filamu iigizwe ya urafiki wao na mwisho wao kushindwa kuzikana.
 
Kwa nchi ilipokuwa imefika ilikuwa ni lazima ccm wachague mawili. Aidha Lowassa au Slaa ndani ya Ikulu
 
Kikwete ni msaliti, period!
 
Inajulikana CCM wote wana Walakini, Hata anayepitishwa kuwa Presidential Material kwenye File uwa kuna mahali hapapo sawa.

Hii ni kutokana na aina ya Mfumo wanaoUtumikia.

Sasa kwa nini JK alaumiwe? Haraka nachokiona,

El alimusupport JK, lakini JK binafsi hakuonyesha kufanya ivo kwa EL, Hata mkisema the so called Inner Circle ndio uwa Final say, Inajulikana Personal kila mmoja uwa na chaguo lake. JK chaguo lake lilikuwa lipi?

Ok, EL hakuwa Clean, Jk aliwezaje kuruhusu EL kuhudumu kwa nafasi kubwa ya Uwaziri mkuu kwa kipindi kile chote, Pasipo kumchukulia Hatua kali za Kumwajibisha?

Kwa nini JK personal hakukataza Wana CCM wenzake, Wengine wakiwa kiumri ni watoto kabisa wa EL, Kumshambulia na Kumfanyia siasa zenye kila Aina ya Uchafu EL?

JK anajitengaje na Ile nguvu kubwa kupata kutokea nchini, Ya kumpinga EL hadharani? Hata kama JK hakumkubali EL, kwa nini rasimalikubwa kiasi kile ilitumika kumshambilia EL, Wakati Wapinzani wenu walishawa rahisishia kazi.

Hata kama JK akisema walikuwa sawa, JK anajitengaje na Hiyo Bodylanguage Hapo Juu ambayo inaonyesha hawakuwa sawa.

Mapokeo ya watu yangekuwa tofauti Endapo JK angetumia ile nafasi kusema, Alishamfuata EL wakaweka sawa AU EL ndio alimfuata JK wakaweka vitu sawa.
 
(✍🏿 na mwandishi wetu wa kwenye misiba ya viongozi)

MSIBA umemalizika na kilichobaki kwa sisi tunaomini YESU ni Mwokozi na Mlinzi wa maisha yetu tunajukumu la kuiombea familia ya Lowassa ili Mungu awape amani na awaangazie fadhili na nuru za uso wake.

Kamati iliyopanga ratiba kule Monduli mna nafasi yenu peponi na hakika Hayati Lowassa atakuwa anafuraha sana huko aliko kwa kuwa MLIKATAA UNAFIKI NA KUFYEKELEA MBALI OMBI NA JINA LA JAKAYA KIKWETE kuwekwa kuwa miongoni mwa watu wa kuongea kwenye mazishi yale.

Mmefanya jambo la maana sana na hili mtalipwa na Mungu na mmemtendea sawa sana Hayati Lowassa kwa kuwa kukubali mtu huyu kuongea kwenye mazishi yake wakati alimtendea mambo machafu sana wakati wa uhai wake na kushindwa hata kwenda kumuona akiwa mgonjwa mngekuwa mnamkosea sana Mzee Lowassa na angefadhaika sana huko aliko.

Hiki mlichokifanya ndiyo maana halisi ya farsafa ya UBAYA UBAYA TU. Yaani hauwezi ukamtendea vibaya mtu akiwa hai halafu ukataka usubiri amekufa ndiyo uende kujikosha kuwa eti alikuwa
 
Hivi manataka watu wagawane vyeo? Au mlikuwa mna msilahi binafsi na huyu mtu?
 
Kuondokewa na rafiki wa karibu sio mchezo.Ukimuona mtu anaongea kwenye msiba wa rafiki wa karibu,ujuwe ana moyo mgumu na amejikaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…