Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

Hiyo clip uliyotaja nimeisikiliza

Haiwezi kuwa reference kwenye mada hii

Clip inaongelea kujiuzulu na sio fitina ya jk kwenye kinyanganyiro cha urais

More evidence zinahitajika ku justify claims zenu
Jk alimsaliti Sitta, anasema anataka spika mwanamke. Lakin ukimsikiliza sasahivi anajifanya kuelezea kuwa kipindi cha 1995 Sitta ndo alikuwa kiongozi wao🤔.

Kwahiyo Kwa Lowasa lazima alaumiwe. Na nadhan ndo ilikuwa wosia wa Edo. Na familia imeweza kufikisha ujumbe
 
Kwahiyo alimroga?

Au kuukosa Urais ndio kulimpa maradhi?, kwahiyo ilikuwa lazima awe Rais?

Maradhi kama yalisababishwa na kuukosa Urais duh hii itakuwa kali ya mwaka.
Kama alipigwa kitu, basi jua ilikuwa akuanzaye mmalizaye maana hiyo ndio style ya Mkwere yule.
hakika jk kasingiziwa mengi mno
 
Mkuu, kutokana na hii mada yako, hivi ni kwamba unalalamika, unashauri, unashutumu, unahitimisha, ama unaweka msisitizo? Ni haki ya kikatiba ya watu kutoa maoni yao, haijalishi kama yanakufurahisha ama la.
kutoa maoni ni sawa ila kusema uongo,kumsingizia mtu hayo sio maoni ni uchimvi
 
Mkuu watu wengi humu wanaendeshwa na mihemko wala sio facts. Eti JK alaumiwe kwa EL kukosa urais?

JK hana mamlaka ya kuamua nani awe Rais ndiyo maana kuna vyombo mbalimbali vinafanya vetting ya nani anafaa hivyo lawama kwa JK ni za kupuuzwa tu.

Halafu unakuta lijitu limeenda hadi chuo halafu linaishi kwa uzushi wa vijiweni kwamba EL alikosa urais kisa JK alimsaliti.

Upumbav ni janga halisi kwa watu wengi.
na huu udhaifu wa kifkra ndio unaosababisha nchi hii kuwa maskini,maana hata wasomi badala ya kujadili mambo kwa hoja wanajadili kwa uzushi
 
Kiukweli mwandishi anazo hoja. chadema walitufundisha ufisadi wa Lowasa ,tukauelewa mara ghafla kawa mgombea wao.

Chadema hili jambo limewatia kigugumizi sana .

Sasa chadema ni rafiki wa Lowasa kuliko ccm
huu ndio unaitwa unafiki
 
Sasa JK mwenyewe juzi kasema walikuwa marafiki wakubwa alafu wewe unasema hawakuwahi kuwa marafiki. Bado unataka tukuchukulie Serious kwa ulichoandika.

Ni Wajínga pekee watakaochukulia maoni yako kwa uthabiti. Hii ni kama futuhi.
ulitarajia aseme nini kilioni,aseme kuwa walikuwa maadui?
 
Naungana na mtoa hoja. Lowassa kafariki kwasababu ni lazima kila mwanadamu afariki sio kwasababu ya kuukosa Urais.

Hata kama JK angelikuwa na uwezo wa kumpitisha kuwa mgombea Urais, asingelizuia kifo chake.

Wanaomzonga JK ni wanafiki wakubwa ambao matatizo yao hawawezi kukubali kwamba chanzo ni maamuzi yao badala yake wanaamini wametengenezewa na mtu mwingine. Mtazamo huo ni dosari katika kutafuta suluhu ya matatizo kwenye jamii. Ni sawa na sisi waafrika kuwalaumu wazungu kwa kutoendelea kwetu wakati hawashiriki kwenye vikao vya maamuzi.

Lowassa alikuwa binadamu, hakuwa malaika. Ukitaka usifachafuliwe katika siasa, usifanye siasa.

Apumzike kwa amani mzee Lowassa.
 
Jinga kabisa wewe kama unataka uaminike kwa huu uharo wako uliharisha hapa ni kwa nn huyo jk alilikata jina edo kwenda kwenye kamati kuu ili ijulikane ni kweli alikuwa hatakiwi.

Jk anasababu za kulaumiwa kwa kupindisha mchakato wa kimaamuzi kwa kukata jina la lowasa kwakuwa alijua atachaguliwa tu kwa vyovyote vile.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
we ni mpuuzi jk anakata jina peke yake,kwani huyo ni mkwe wa kuoa mwanae?
 
Wewe nawe ni hopeless.

Suala hapa siyo Lowasa kuwa Rais bali ushetani wa Kikwete katika kudhulumu haki za watu. Shetani huyu hakudhulumu tu haki ya Lowasa kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM, hakudhulumu tu ushindi wa Lowasa akiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, lakini pia alidhulumu ushindi wa Maalim Seif kule Zanzibar, alidhulumu pia haki ya Dr. Ulimboka kupaza sauti kwa niaba ya madaktari wenzake.

Wajinga badala ya kuangalia msingi wa lawama dhidi ya Kikwete wanakimbilia kusema eti watu walitaka Kikwete amgawie Urais Lowasa. Hopeless kabisa.

Anayedhulumu ni shetani, haijalishi ni Kikwete au awaye mwingine yeyote. Kikwete ni shetani mwenye mbinu zote za kishetani, atakuhadaa kwa tabadamu la uwongo kumbe moyoni mwake anapanga uovu mkubwa dhidi yako. Shetani wa namna hii ni hatari kuliko shetani anayeonekana ni adui wa moja kwa moja.
haki ya maalim seif kama kuna mtu wa kwanza kumlaumu basi ni marehemu mkapa
 
Nikikuita mpuuzi nitakuwa nimekuonea mkuu?
Kama hilo jina halifai nikuiteje?

1. Ikiwa Lowassa hakufaa yaani mchafu na fisadi, ilikuwaje katika watu wote mtu msafi JK amteue EL kuwa meneja wa kampeni?

2. Kwanini mtu msafi kama JK awe na urafiki na fisadi EL?

3. Ilikuwaje mtu msafi kama JK amteue EL kuwa Waziri mkuu?

Hujawahi kusoma kuwa ndege wafananao huruka pamoja?

Kwa hitimisho...huoni mazingira tu yanaashiri JK hakuwa tu fisadi bali ni muongo na msaliti kwa EL?
hapa unataka kuprove nini?
 
JK ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe sana miaka mitano ya Magufuli JK katukanwa Sana bila kujali ndie aliemfanya akae hapo.Hata Lowasa angekuwa Rais bado JK angetukanwa tu Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu JK.
Amina
 
umetumwa kuja kupoza upepo mkali unaomvumia mzee wa msoga kwa kitendo chake cha kumsulubu mwenzake kisiasa. Tuli huwezi kutuliza tufani mpaka itapita yenyewe. Unajisumbua bure, labda kama unalipwa ufanye kazi ya kutuliza upepo huu mkali
jk kakumbana na mengi na aliyadhinda yote na hata hili atalishinda tu
 
N

Ndugu umeamua kujizima data na uonekane kituko. Watanzania sio wajinga kama zamani. Kila kitu kipo wazi. Kikwete, ndiye fisadi mkuu wa Richmond. Lakin akamtupia zigo Lowasa. Ndio maana, unaona hata, Mwanasheria muongo mwakyembe aliyepangwa na JK ili kumchafua Lowasa,hakuonekana.Kikwete , aliamua kumtoa Lowasa kweye U PM, kwa kuwa, Lowasa, alikuwa, anaonekana kama Rais kuliko yeye.Pili, JK akiwa mwenyekiti wa CCM aliondoa jina la Lowasa kwenye kinyanganyiro cha Urais wa, CCM,ili nduguye membe awe Rais. Lakin Mungu hakukubali. CCM wote wanajua Hilo. Hayo mashambulizi anayopata ni mwanzo tu. Bado atakuja kuhaibika. Uhuni aliowafanyia watu wengine ataumbuka tu. Mungu ni mkubwa ndugu. Endelea kujizima data.
Membe na Kikwete undugu huo ulianzia wapi? Mbona hawana undugu wowote na mbaya, zaidi wamekutana miaka ya 2000s? Unajua unachoandika au kimetoka tu hapo pakunyea??
 
Back
Top Bottom