PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.
imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.
Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo tumetuma ujumbe kwa chama cha mapinduzi kuwa hatumtaki tunasema imetosha.
aondoke mara moja kabla aibu haijamkuta.
1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga
tunaomba chama chetu kitusikilize yoyote apuuzaye ujumbe na sauti ya wengi ataanguka anguko kuu.