Pre GE2025 Imetosha! Wananchi wa Bumbuli tunakataa jina la January Makamba

Pre GE2025 Imetosha! Wananchi wa Bumbuli tunakataa jina la January Makamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mrithi wa mzee Makamba mbona wamemkataa mapema hivyo
 
IMETOSHA! WANANCHI WA BUMBULI TUNAKATAA JINA LA JANUARY MAKAMBA

Kwa miaka 15 sasa, wananchi wa Jimbo la Bumbuli tumekuwa tukihadaiwa na ahadi zisizotekelezeka. Tumeshuhudia mbunge wa msimu, anayejitokeza tu nyakati za uchaguzi kama mtalii, kisha kutoweka bila kutatua matatizo yetu ya msingi. Leo, kwa umoja wetu, tunasema IMETOSHA!

Jimbo letu limebaki nyuma kimaendeleo, huku wananchi wakikosa huduma muhimu kama maji safi, barabara za uhakika, huduma bora za afya, na fursa za kiuchumi. Tumechoka na tunasema hatutamchagua tena January Makamba. Tunamtaka apumzike, na tunatoa wito kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutusikiliza, kwani sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu.

Wananchi wa kata zote 18 za Jimbo la Bumbuli kwa kauli moja tunasema:

1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga

Tumesema kwa kauli moja: January Makamba hatufai tena! CCM isituangushe kwa kupuuza sauti yetu. Yeyote atakayepuuza ujumbe huu ataanguka ANGUKO KUU.
Kwani Januari yeye anautaka ubunge au urais?
 
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.

imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.

Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo tumetuma ujumbe kwa chama cha mapinduzi kuwa hatumtaki tunasema imetosha.
aondoke mara moja kabla aibu haijamkuta.

1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga

tunaomba chama chetu kitusikilize yoyote apuuzaye ujumbe na sauti ya wengi ataanguka anguko kuu.
Wamechelewa sana huyu mhuni alikuwa anawatumia tu kama daraja la kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais, hajawahi kuwa na msaada wowote kwa watu wa jimbo hilo.
 
January ni gwiji, mtoto wa mjini, ana mission na ambition zake,,,,, ! Inawezekana ni future presidential material,,,,aache kupambania ndoto zake akawapambanie nyie huko kwenye kata ? Pambaneni , hata mkimkataa chama chake kitamuweka
presidential material wa hapo sebuleni kwenu wewe na mama zako labda
jimbo lipo hivyo awe rais nchi itakuaje?eti presidential material!
kiingereza unakijua hata? unajua mana yake?
yule mvuta bangi na tambuu ndio presidential material?
 
Mleta mada naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe. Kwanza wewe siyo mwana CCM. Naona unasoma upepo na kuona Mheshimiwa January Makamba anaendelea kupendwa na wananchi. na ndio maana ya kuamua kuja hapa kuanza kumchafua . Hata hivyo huwezi kufanikiwa katika lengo lako hilo.
 
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.

imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.

Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo tumetuma ujumbe kwa chama cha mapinduzi kuwa hatumtaki tunasema imetosha.
aondoke mara moja kabla aibu haijamkuta.

1. Baga
2. Bumbuli
3. Dule "B"
4. Funta
5. Kisiwani
6. Kwemkomole
7. Mahezangulu
8. Mamba
9. Mayo
10. Mbuzii
11. Mgwashi
12. Milingano
13. Mponde
14. Nkongoi
15. Soni
16. Tamota
17. Usambara
18. Vuga

tunaomba chama chetu kitusikilize yoyote apuuzaye ujumbe na sauti ya wengi ataanguka anguko kuu.

View attachment 3251707View attachment 3251708View attachment 3251709View attachment 3251710View attachment 3251712View attachment 3251713View attachment 3251714View attachment 3251715View attachment 3251716View attachment 3251718View attachment 3251719View attachment 3251720View attachment 3251721
Kumekucha Kumekucha Kumekucha
 
Tunaimaniiiiiiiii na Januariiiiiiiiii, oyaaa oyaaa oyaaaaaaaaa Januari kweli, kweliiiiii, kweli, kweliiiii , kweli kweli Januariiiiiii
 
January ni gwiji, mtoto wa mjini, ana mission na ambition zake,,,,, ! Inawezekana ni future presidential material,,,,aache kupambania ndoto zake akawapambanie nyie huko kwenye kata ? Pambaneni , hata mkimkataa chama chake kitamuweka
Unaweza fikiri haya ni maandiko ni ya Januari! Sawa ya kesho ni ya Mwenyezi Mungu unaweza kuishia kuyasema hayo leo lakini kesho usiyaone yakitimia.
 
Sa itakuwaje🤔
1740661330427.png

Kamati ya ufundi ipo mzigoni.
 
Mleta mada naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe. Kwanza wewe siyo mwana CCM. Naona unasoma upepo na kuona Mheshimiwa January Makamba anaendelea kupendwa na wananchi. na ndio maana ya kuamua kuja hapa kuanza kumchafua . Hata hivyo huwezi kufanikiwa katika lengo lako hilo.
Siyo swala la mleta uzi kuwa mwana CCM au la bali ni fact ambayo ipo na huwezi kushindana nayo. Ni ukweli usiopingika kuwa January hakubaliki huko kwani kwa vipindi vyote vitatu alivyokuwa mbunge alikuwa anapita bila kupingwa kwa kutumia fedha alizofisadi NSSF kuwanunua wapinzani wake wajitoe . Na pia hajafanya lolote katika Jimbo hilo wani huwa haonekani kabisa anakuja nyakati za uchaguzi tu, na jengine ni kuwa huyu alipitishwa kugombea kimagumashi kwa influence ya baba yake wa kufikia Mzee Makamba, huyu hakuzaliwa Jimboni, hakukulia Jimboni wala hajawahi kuishi Jimboni hapo hivyo hajui shida za Jimbo hilo na kuweza kuzisemea.
 
Back
Top Bottom