MrsPablo1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 1,073
- 1,941
Si wanatakiwa wapewe elimu tuu hasa vijana na wasaidiwe walime mashamba makubwa sio vi robo heka badala ya madraft tena yenye picha yake maanake anataka vijana waendelee kushinda vijiweniMkuu hawa jamaa wana utamaduni wa hovyo, wanavuna sana mazao, kisha wanauza yoooote wanaanza kwenda dukani kwa mangi kununua roborobo. Boha sasa....linanyweka hatari. Hawabadiliki