Pre GE2025 Imetosha! Wananchi wa Bumbuli tunakataa jina la January Makamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaposema mzee Makamba ni baba yake wa kufikia una maanisha nini? Je wewe ndiye Baba yake? Kwanini unapenda kuropoka ropoka Hovyo hovyo? Nenda kachukue Fomu ushindane naye.
 
Unaposema mzee Makamba ni baba yake wa kufikia una maanisha nini? Je wewe ndiye Baba yake? Kwanini unapenda kuropoka ropoka Hovyo hovyo? Nenda kachukue Fomu ushindane naye.
Hayo mengine kaa kimya huyo mtu wenu asizidi kuumbuka. Sina interest ya kugombea ubunge lakini haininyimi uwezo wa kutambua mbunge anayefaa.Huyo jamaa ni boya ndiyo maana ametemwa uwaziri mara mbili.Usihoji mengi juu yake tukiyamwaga hapa atakuwa uchi na yeye mwenyewe anajua wala hatachukua form.
 
Duh 🙄 !
Jamaa wamemchoka !
 
NOPE, they know all apparent incoming misfortunes and they are the experts of remedying any calamity (a resilient party)
 
Hizo sauti zenu ni kelele tu Labda aamue kutoka mwenyewe. Ndo kwanza rais kamsamehe soon anamrudisha jikoni.
 
Mimi wa kwa mgashi nasema wajimbe kaaataaa.
 
Inashangaza sana kweli, Mheshimiwa amekuwa akisifika ni mtu smart sana sasa amekwama wapi kupeleka maendeleo jimboni mwake ata kuwatoa wananchi kwenye hizo nyumba za tope jamani, kashindwa kufikisha umeme REA kwenye hivyo vijiji?
Mkuu hawa jamaa wana utamaduni wa hovyo, wanavuna sana mazao, kisha wanauza yoooote wanaanza kwenda dukani kwa mangi kununua roborobo. Boha sasa....linanyweka hatari. Hawabadiliki
 
presidential material wa hapo sebuleni kwenu wewe na mama zako labda
jimbo lipo hivyo awe rais nchi itakuaje?eti presidential material!
kiingereza unakijua hata? unajua mana yake?
yule mvuta bangi na tambuu ndio presidential material?
Acha hasira, nenda Kanye, mpuuzi mkubwa
 
Kwamba wanataka kuifanya Bumbui kuwa jimbo la familia ya ukoo wa Makambaa ??!
😆😆😆
 
Taarifa za kitafiti zinathibitisha kuwa changes lead into improvements always

Ni bongo tu ndio unakuta mtu anakuwa mbunge wa awamu kadhaa wengine hadi użre kama Mkuchikaa
 
Kuna wabunge wa tangu enzi za Mwalimu .
Iła bongo 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…