Nendeni chadema, ACT, NCCR, TLP Kuna wagombea pia huko. Chama cha Mapinduzi kina taratibu zake na wewe hakika sio moja ya mwanachama wa chama cha mapinduzi.
Hacha kutuletea migogoro yenu kwenye chama cha mapinduzi, maana naona mmeona makamba ni tishio kwa vyama vya upinzani bumbuli