Imevuja Ballon D'OR (2021)

Imevuja Ballon D'OR (2021)

Mimi sijawahi kumkubali Messi Mimi ni team Mmoroco ila nionavyo
Messi lazima abebe huo ndio ukweriii ndugu zangu na msema ukweri ni mpenzi wa Mungu.
Ya Saba tena
 
80% ya takwimu zote ni za Copa America hivi lile ni kombe linaloweza kumpa mtu hii tuzo?
Japo najua Adidas watafanya yao Messi ashinde
Kwan Lewandoski msimu uliopita kachukua kombe gani kubwa?

Washabiki wa Ronaldo wengi ni majuha, hampendi facts kapisa.
 
Kwan Lewandoski msimu uliopita kachukua kombe gani kubwa?

Washabiki wa Ronaldo wengi ni majuha, hampendi facts kapisa.
[emoji15]aisee...kama kuna sehemu nimeandika nani achukue hiyo tuzo em nioneshe,mambo ya lewandosk yamekujaje tena[emoji3525][emoji3525]!!!
 
Kwan Lewandoski msimu uliopita kachukua kombe gani kubwa?

Washabiki wa Ronaldo wengi ni majuha, hampendi facts kapisa.

Mashabiki wa mapenati tushawazoea kamanda wangu, always messi akiwa wa kwanza kelele nyiingi, wanatafuta pa kujifutia machozi 😂 sipati picha jamaa yao angelikuwa nafasi ya messi 😂
 
Mimi sijawahi kumkubali Messi Mimi ni team Mmoroco ila nionavyo
Messi lazima abebe huo ndio ukweriii ndugu zangu na msema ukweri ni mpenzi wa Mungu.
Ya Saba tena
Screenshot_20211106-111135_Instagram.jpg

Kutoka chumba cha wahariri cha jarida la mpira la ufaransa ni kuwa wamemtaarifu mfalme wa soka duniani ndie mshindi wa ballon d'Or

Leo10 ametajwa sana na huenda akaibeba bila shaka

Kuna watu humu watajinyonga aise
 
  • Thanks
Reactions: PNC
takwimu zipi unazozitaka? za most dribliing, penaty donation, nk msimu huu tuu ambao mwaka wake hujesha R9 ana goli 20 messi 3, sasa sijui tuzo hiyo ni ya muda wote au mwaka husika

2020-2021

Screenshot_20211106-111135_Instagram.jpg

Kutoka chumba cha wahariri cha jarida la mpira la ufaransa ni kuwa wamemtaarifu mfalme wa soka duniani ndie mshindi wa ballon d'Or

Leo10 ametajwa sana na huenda akaibeba bila shaka
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu mwamba atachukua hii tuzo na mwakani pia ngoja aanze kuwasha moto
Maana kule Ufaransa atabeba kila kitu
Na huyu ndio mfalme wa soka duniani
 
Back
Top Bottom