Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ebu toa takwimu zake za msimu 2020/2021hata tukiangalia msimu ,lewandowsk individual ana msimu bora kuzidi mchezaji yoyote yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu toa takwimu zake za msimu 2020/2021hata tukiangalia msimu ,lewandowsk individual ana msimu bora kuzidi mchezaji yoyote yule
Sio siri umenikeraaLIONEL ANDRES MESSI LA PULGA CUCCITINI
Kwa nini?Lewandoski ana stahili no discussion needed
Tatizo mnajua anatafutwa mfungaji bora, wakati anatafutwa mchezaji boraHivi hizi tuzo zinatolewa kwa ubora wa siku zote au kwa msimu husika..
Jibu ni msimu husika,basi messi hastahili hii tuzo, lewandosk kafanya vizuri zaidi msimu uliopita.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kabisa tena yeye na M. SalahLewandoski anakuwa Robbed second time....
Sio siri umenikeraa
Kwan Lewandoski msimu uliopita kachukua kombe gani kubwa?80% ya takwimu zote ni za Copa America hivi lile ni kombe linaloweza kumpa mtu hii tuzo?
Japo najua Adidas watafanya yao Messi ashinde
[emoji15]aisee...kama kuna sehemu nimeandika nani achukue hiyo tuzo em nioneshe,mambo ya lewandosk yamekujaje tena[emoji3525][emoji3525]!!!Kwan Lewandoski msimu uliopita kachukua kombe gani kubwa?
Washabiki wa Ronaldo wengi ni majuha, hampendi facts kapisa.
Kwan Lewandoski msimu uliopita kachukua kombe gani kubwa?
Washabiki wa Ronaldo wengi ni majuha, hampendi facts kapisa.
Mimi sijawahi kumkubali Messi Mimi ni team Mmoroco ila nionavyo
Messi lazima abebe huo ndio ukweriii ndugu zangu na msema ukweri ni mpenzi wa Mungu.
Ya Saba tena
takwimu zipi unazozitaka? za most dribliing, penaty donation, nk msimu huu tuu ambao mwaka wake hujesha R9 ana goli 20 messi 3, sasa sijui tuzo hiyo ni ya muda wote au mwaka husika
Ebu toa takwimu zake za msimu 2020/2021
One team wonder[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa stats za mwaka jana ni kweli ana deserve kubeba hiyo tuzo, ila messi nje ya camp nou ni ombwee na hayo yanathibitika msimu huuKivipi?