Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

MAMBO NI FIRE acha mhenga nicheke tu.
 
Yan mahojiano ya Lisu ndo yanazungumziwa hiviii kweli watanzania tunajiaibisha sana alafu uyo unae msema mbona ata hausikiii na politic issues muwe bas mnasoma bibliography zao kabla hamjawataja watu kwenye post zenu ulie mtaja uyu hapa

Image result for richard quest
Image result for richard quest
Image result for richard quest
Image result for richard quest
Image result for richard quest
Image result for richard quest
Image result for richard quest
Image result for richard quest
Image result for richard quest
View all
Richard Austin Quest is an English journalist and a CNN International anchor and reporter, based in New York City. He anchors Quest Means Business. In addition to anchoring the five-times-weekly business programme, Quest hosts the monthly programme CNN Business Traveller and CNN Marketplace Europe.

Na Tundu lisu wap na wap acheni ushabiki usio na maana fanyeni kaz
 
Thesis yake ameindika na kupresent kwa lugha ya kiingereza!Kwa mfumo wa elimu yetu,hairuhusiwi kutumia lugha ya kiswahili sekondari mpaka chuo kikuu!
Ndio maana nimeingiza suala la Phd maana presentation yake ilikuwa kwa kimombo!
Nilikua sijui kama kwenda kuhojiwa BBC ni sawa na kuwa chuoni. Jamani wakati mwingine tusidhalilishe elimu zetu. Mkuu ulivyoandika inaonekana umeenda shule lakini shule yako haijakusaidia katika general knowledge.
 
Kumhoji ni "Formality" tu, ukweli woote wanaujua.
 
Kumhoji ni "Formality" tu, ukweli woote wanaujua.
 
Nilikua sijui kama kwenda kuhojiwa BBC ni sawa na kuwa chuoni. Jamani wakati mwingine tusidhalilishe elimu zetu. Mkuu ulivyoandika inaonekana umeenda shule lakini shule yako haijakusaidia katika general knowledge.
Aisee,unachomiss ni nini hapa?Naona kama hata huelewi hoja yangu!
Nikiwa naenda Eindhoven Univ of technology,moja ya requirements zao ni lazima upitie mtihani wa kiingereza wa IELTS venue za british council,maswali yalikuwa challanging tena on recording!Examiners walikuwa wanakuja kusikiliza tape!
Nawaza,alipass vipi mtihani huo kama tu hata hawezi kuongoa sentesi moja kwa ufasaha????Maana najua kuna course alisoma nje ya nchi!
 
Una uelewa mdogo wa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa hii takataka yako, Mahiga ndio alikubali ushoga kitambo kwa niaba ya serikali alafu unataka kutuambia nini wewe.
 

Haya Eng. Soma hiyoo nasema soma hiyo alaaaaa
 

Attachments

  • 1548345280828.png
    29.9 KB · Views: 31
Lazima waelewe kwamba wanahabari wa vyombo vikubwa wamegawana kitaaluma. Quest ni mtu wa biashara na uchumi. Sasa kweli Lissu anaweza kuhojiwa biashara na uchumi akasema lolote? Tuwe wakweli tu sijawahimsikia akitaja tarakimu yoyote toka kichwani, na biashara na uchumi ni tarakimu, mbona itakuiwa ni aibu?
 
Kwahiyo Lissu hawezi kuwa rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…