Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Kwa taarifa yako ata akipoteza ubunge sio shida hadhi yake iko pale pale
Kama walimnyima hela ya matibab na tukachanga unadhan n nan wa kumzuia!?
Polen
Mpen pole alieandika risala ya msiba maana marehem kafufuka
Kwann mnateseka!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima waelewe kwamba wanahabari wa vyombo vikubwa wamegawana kitaaluma. Quest ni mtu wa biashara na uchumi. Sasa kweli Lissu anaweza kuhojiwa biashara na uchumi akasema lolote? Tuwe wakweli tu sijawahimsikia akitaja tarakimu yoyote toka kichwani, na biashara na uchumi ni tarakimu, mbona itakuiwa ni aibu?
Ukitaja tarakimu basi unakuwa mchumi??Hizi akili za lumumba kazi kweli kweli,aliyewaloga kafa!
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
CCM propaganda, na uzuzu wenu
 
Ukitaja tarakimu basi unakuwa mchumi??Hizi akili za lumumba kazi kweli kweli,aliyewaloga kafa!
Uchumi ni tarakimu, lakini tarakimu siyo uchumi. Kuna sehemu uliwahi ona uchumi bila tarakimu?
 
Mapokeo hasi kutoka kwa Watanzania au mapokezi hasi kutoka kwa wana-Lumumba baada ya kuona kubwa la Lumumba, KADIKTETA UCHWARA kamelipuliwa LIVE bila chenga!
Wenye akili wote walishafahamu kwamba kubweka kule kwa Ndugai ni maelekezo kutoka juu kama njia ya kumtisha Tundu Lissu asiendelee kubaki ughaibuni na kuieleza dunia ukweli kuhusu PETTY DICTATOR!

Hata hivyo, kwa wanayemfahamu Lissu sio wa kutishika na vitisho kutoka kwa Dhaifu Job Ndugai
Mna mahaba na lisu,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemuunga mkono aliyesema Lissu hafai kuwa Rais kwasababu sio mchumi,ukamuunga mkono!Ndio maana nimeuliza hilo swali!Sasa hao wengine wamekuwaje Marais bila kuwa wachumi?Tumekosea?
Wenzio ndio wanasema Lissu hawezi kuhojiwa na Richard sababu kipindi chake hujikita masuala ya biashara na uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzio ndio wanasema Lissu hawezi kuhojiwa na Richard sababu kipindi chake hujikita masuala ya biashara na uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana ni kweli maana uchambuzi wa uchumi unahitaji uwe umebobea kwenye taaluma hiyo,unless kipindi kiwe kinahoji uchumi kiujumla jumla bila kuingia ndani kwenye details!
Urais ni taasis,huwezi kupata Rais ambaye ni mchumi,mwanasheria,daktari,Engineer nk!Ndio maana anakuwa na team ambayo imejaa wataalam kutoka fani mbalimbali!
 
Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]

Richard Quest pia ni shoga waziwazi. Ijumaa ya 18/4/2008 alikamatwa Central Park New York akifumuliwa marinda na njemba huku wakiwa high kwenye madawa ya kulevya ya methamphetamine, na madawa mengine alikuwa nayo kwenye soksi.

Lakini kwakuwa kufumuana marinda huko kwao ni ruksa, alikamatwa kwa kosa la kuwa ndani ya Central Park saa 9 za usiku wakati Park ilishafungwa saa 7 za usiku.
Na police report ilionyesha pia alikutwa akiwa amejifunga kamba shingoni na upande mwingine wa kamba umefunga mapumbu yake na penisi (Mambo ya SM sex hayo 😉). Walikutwa pia na vifaa vingine vya kutanua zaidi marinda.
Mwisho wa siku akahukumiwa kwenda tu rehab kwa miezi 6 ili aache kutumia madawa.

Enzi hizo Quest alikuwa mdaku sana wa kuripoti mambo ya mahusiano ya watu wengine maarufu, tangu yamkute, amekuwa akijikita sana kwenye uchumu na siasa.
Nakumbuka ni vyombo vya udaku tu kama TMZ ndo viliripoti hii. Vyombo vikubwa viliingia makubaliano na CNN kuwa wasiripoti na kwenda mbele hawataripoti tena personal scandals za watu wao.

Inawezekana baada ya sintofahamu ya kuwa ushoga bongo ruksa 2020 tutakapompa nchi Lissu, wapambe wameona labda wasubiri upepo upite kabla gwiji la MarindaWazi halijaingia kwenye picha.
 
Lumumba mnaweweseka sana na bado mwaka huu mtanena mpaka kwa lugha,pumbavu kabisa nyie! .
 
Daa Tundu Atipas Mugwai Lissu yupo juu sana Duniani kwa sasa ndo maana Watanzania karibu wote wake kwa waume tunafuatila habari zake maana isingelikuwa hivyo asingelitunyima usingizi, Viva baba lao viva Lissu umetushika pabaya vilivyo kwa sasa paka tushike adabu
 
Back
Top Bottom