Richard Quest pia ni shoga waziwazi. Ijumaa ya 18/4/2008 alikamatwa Central Park New York akifumuliwa marinda na njemba huku wakiwa high kwenye madawa ya kulevya ya methamphetamine, na madawa mengine alikuwa nayo kwenye soksi.
Lakini kwakuwa kufumuana marinda huko kwao ni ruksa, alikamatwa kwa kosa la kuwa ndani ya Central Park saa 9 za usiku wakati Park ilishafungwa saa 7 za usiku.
Na police report ilionyesha pia alikutwa akiwa amejifunga kamba shingoni na upande mwingine wa kamba umefunga mapumbu yake na penisi (Mambo ya SM sex hayo 😉). Walikutwa pia na vifaa vingine vya kutanua zaidi marinda.
Mwisho wa siku akahukumiwa kwenda tu rehab kwa miezi 6 ili aache kutumia madawa.
Enzi hizo Quest alikuwa mdaku sana wa kuripoti mambo ya mahusiano ya watu wengine maarufu, tangu yamkute, amekuwa akijikita sana kwenye uchumu na siasa.
Nakumbuka ni vyombo vya udaku tu kama TMZ ndo viliripoti hii. Vyombo vikubwa viliingia makubaliano na CNN kuwa wasiripoti na kwenda mbele hawataripoti tena personal scandals za watu wao.
Inawezekana baada ya sintofahamu ya kuwa ushoga bongo ruksa 2020 tutakapompa nchi Lissu, wapambe wameona labda wasubiri upepo upite kabla gwiji la MarindaWazi halijaingia kwenye picha.