Nchi hii ishawahi kupata Rais mwenye taaluma ya uchumi na biashara????
Ukitaja tarakimu basi unakuwa mchumi??Hizi akili za lumumba kazi kweli kweli,aliyewaloga kafa!Lazima waelewe kwamba wanahabari wa vyombo vikubwa wamegawana kitaaluma. Quest ni mtu wa biashara na uchumi. Sasa kweli Lissu anaweza kuhojiwa biashara na uchumi akasema lolote? Tuwe wakweli tu sijawahimsikia akitaja tarakimu yoyote toka kichwani, na biashara na uchumi ni tarakimu, mbona itakuiwa ni aibu?
CCM propaganda, na uzuzu wenuNdugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Wewe no milaji mtaturu sio?Lissu kaona ni rahisi sana kutembelea vyombo vya habari kuliko kutembelea wananchi wa Jimbo lake na watanzania tuliomuombea apone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi ni tarakimu, lakini tarakimu siyo uchumi. Kuna sehemu uliwahi ona uchumi bila tarakimu?Ukitaja tarakimu basi unakuwa mchumi??Hizi akili za lumumba kazi kweli kweli,aliyewaloga kafa!
Kwahiyo ukiweza kuzitaja basi unakuwa mchumi,hizi akili za wapi?Uchumi ni tarakimu, lakini tarakimu siyo uchumi. Kuna sehemu uliwahi ona uchumi bila tarakimu?
JK alikuwa mchumiNchi hii ishawahi kupata Rais mwenye taaluma ya uchumi na biashara????
Umemuunga mkono aliyesema Lissu hafai kuwa Rais kwasababu sio mchumi,ukamuunga mkono!Ndio maana nimeuliza hilo swali!Sasa hao wengine wamekuwaje Marais bila kuwa wachumi?Tumekosea?
Mna mahaba na lisu,,,Mapokeo hasi kutoka kwa Watanzania au mapokezi hasi kutoka kwa wana-Lumumba baada ya kuona kubwa la Lumumba, KADIKTETA UCHWARA kamelipuliwa LIVE bila chenga!
Wenye akili wote walishafahamu kwamba kubweka kule kwa Ndugai ni maelekezo kutoka juu kama njia ya kumtisha Tundu Lissu asiendelee kubaki ughaibuni na kuieleza dunia ukweli kuhusu PETTY DICTATOR!
Hata hivyo, kwa wanayemfahamu Lissu sio wa kutishika na vitisho kutoka kwa Dhaifu Job Ndugai
Wenzio ndio wanasema Lissu hawezi kuhojiwa na Richard sababu kipindi chake hujikita masuala ya biashara na uchumiUmemuunga mkono aliyesema Lissu hafai kuwa Rais kwasababu sio mchumi,ukamuunga mkono!Ndio maana nimeuliza hilo swali!Sasa hao wengine wamekuwaje Marais bila kuwa wachumi?Tumekosea?
Yawezekana ni kweli maana uchambuzi wa uchumi unahitaji uwe umebobea kwenye taaluma hiyo,unless kipindi kiwe kinahoji uchumi kiujumla jumla bila kuingia ndani kwenye details!Wenzio ndio wanasema Lissu hawezi kuhojiwa na Richard sababu kipindi chake hujikita masuala ya biashara na uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
DahYawezekana ni kweli maana uchambuzi wa uchumi unahitaji uwe umebobea kwenye taaluma hiyo,unless kipindi kiwe kinahoji uchumi kiujumla jumla bila kuingia ndani kwenye details!
Urais ni taasis,huwezi kupata Rais ambaye ni mchumi,mwanasheria,daktari,Engineer nk!Ndio maana anakuwa na team ambayo imejaa wataalam kutoka fani mbalimbali!
Jiwe mkemia,sasa kemia na uchumi wapi na wapi?
Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Pepo kama ww umuombee lisu?Lissu kaona ni rahisi sana kutembelea vyombo vya habari kuliko kutembelea wananchi wa Jimbo lake na watanzania tuliomuombea apone.
Sent using Jamii Forums mobile app