Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Mie nadhani asiyepata usingizi ni Zitto peke yake, maana ana mahaba na mafont peji Sie wengine ndo wale wale wa siku zote, mchana tunasema weee, usiku tunalala. Ndo desturi yetu.
Zitto huko aliko lazima anaumiza kichwa kulisuka lakuibuka nalo ili arudi kwenye majukwaa. Ngoja uone.
 
taarifa muhimu hii
 
Mahojiano ni popote hata akiwa tz CNN wanaweza kumuhoji na habari tukazipata kama ilivyo,
 
RICHARD QUEST KWENDA KUONGELEA MAMBO YA BUSINESS AU? juzi mmezusha kuhusu hard talk kumbe tarehe moja ni repeat ya kipindi cha tarehe 28 jana cha mlibya leo tena ni kuhusu mtangazaji wa kipindi cha business.OH WAIT A MINUTE, hivi najaribu kuyaelimisha ma bumunda ya lumumba team vigelegele? gat out of here GERRARIA idiots.
 
alafu huyo jamaa ni shoga. nilikua namfatilia sana kipindi chake ila baada ya kugundua anatoa 0713 nikampuuza.
 
Tundu Lisu mahojiano iwe na press au la hawezi yuko weak.Hana uwezo wa Ku catch swali quickly na akili kuwaza na kutoa jibu quickly.Anachoweza yeye ni Ile one way talk ambapo yeye tu ndie mwongeaji .Hapo ataongea na kuongea na kuongea.Hadi maiki iishiwe betri
 
Wamdiscredit kwa lipi alilo nalo!? Yeye anasubiliwa airport akajibu nwanwa zake.
Kuna mtu anaitwa Daniel Buberwa ninamfahamu sana, nashindwa kuridhisha akili yangu kuwa aweza kuwa yeye maana he is very bright kuwa anaandika post za aina hii!
Huyu ni kauzu!!
 
alafu huyo jamaa ni shoga. nilikua namfatilia sana kipindi chake ila baada ya kugundua anatoa 0713 nikampuuza.
... limetangaza linaolewa hivi karibuni! Intelligence ya Chadema ni kali sana inaonekana.
 
Buberwa labda umefoji jina, watu wa majina hayo ni magenius sio vitororo!!
Mtu kapigwa marisasi bado azuiliwe kuongea.
Nyie Lumumba agents vipi??
 
Kuna mtu anaitwa Daniel Buberwa ninamfahamu sana, nashindwa kuridhisha akili yangu kuwa aweza kuwa yeye maana he is very bright kuwa anaandika post za aina hii!
Huyu ni kauzu!!
Hahahahaha. Huyu usicheze nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…