Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN



Mzee unafeli sana

Richard Quest ni mtangazaji wa biashara CNN!

Sasa Tundu Lissu yeye ni habari za kisiasa,wapi na wapi wewe mduwanzi!?

Atamuhoji amuweke kwenye kipindi gani?Kipindi cha RQ ni cha siasa?

Mbuzi wa maziwa!
 
Kavue magogoni mimi sitaki shombo
 

Hii mimi niliwashauri tangu jana .Mwambieni mtu wenu huyo aachane kwanza na ziara zake hizo apate ushauri kwa chama chake.
Yeye amejiandaa tu kwa ajili ya kwenda kushambulia serikali wakati wanaomhoji wamejiandaa kuhoji kwa kupata ukweli na ushahidi.
 
We mshamba na mwongo mkubwa, huji hata Richard Quest anafanya vidi vya aina gani CNN ungelijua usingelimuhusisha na interview za wanasiasa. Ushamba awamu hii ni taabu sana
 
Na je akienda huko Marekani na akahojiwa, utafanyaje??
 
usicheze na mshahara wewe!
 

Richard Quest yuko Davos Uswiss kwa sasa akihudhuria vikao vya World Economic forum; yuko fully equipped pale Davos ni kiasi cha kumuarifu apitie jirani hapo Ubelgiji Louven akafanye interview yake na TL, mahojianio hayo sio lazima yafanyike washington Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…