Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Hizi ziara mlisema ni feki, nashukuru mlishiriki kikamilifu kumsikiliza rais wenu ajaye, ndani ya HARD TALK
huyu kungwi wenu hata misibani haendi sembuse kwenye tough talk that requires smart mind..
INTAPENYWAA utampeleka wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Leo dola moja ni sh 2400/$1

In God we Trust
 
Mzee unafeli sana

Richard Quest ni mtangazaji wa biashara CNN!

Sasa Tundu Lissu yeye ni habari za kisiasa,wapi na wapi wewe mduwanzi!?

Atamuhoji amuweke kwenye kipindi gani?Kipindi cha RQ ni cha siasa?

Mbuzi wa maziwa!
Acha ujuaji Richard Quest ni Journalist na ameshajoji viongozi wengi wa kisiasa wakiwamo marais nk.Si mtangazaji (MC) ni mwanahabari (Journalist). ''Journalism is all round proffession"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Shaka Ssali sawa lakini sio kwa Richard Quest, na kwa kuwa umekosea kiufundi kwa kumuingiza Richard Quest sasa ni dhahiri haujui lolote. Inaelekea mahojiano hayo ya BBC yamewaumiza kweli. Akitaka ataenda na asipotaka ataacha.
 
Kijana hujui kitu, Quest huwa anafanya mahojiano mara nyingi tu na wanasisa.
 
Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Unaweka source ya hbr yako mkuu ... Hapa sio kijijin kwenu unaaminika kila unaloongea, tupia source tuhakikishe wenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chezea mshahara ww, hatari

Ndugu zangu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.

Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.

Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.

Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.

Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
 
Lissu kaona ni rahisi sana kutembelea vyombo vya habari kuliko kutembelea wananchi wa Jimbo lake na watanzania tuliomuombea apone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimuombea Mtu usikae kusubr shukran, lissu inabd amshukur Mungu kwanz, na kama akifika tz i hop atawashkur watanzania .. unajuaje kama watu wa huko hawakumuombea ?? Na sis tunaamin vp kama ww ulimuombea??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana hujui kitu, Quest huwa anafanya mahojiano mara nyingi tu na wanasisa.
Wakudadavua, mimi ni mzee mwenzio, sio kijana kama unavyodhani, umekosea au niseme uzusha, kama hataenda atakuwa na sababu nyingine; ungesema alitaka akutane na Mrs. Christine Amanpour ningekuelewa. Acha uzushi, ni dhambi.
 
Ha ha ha kuna lilevi limoja eti "lissu rudi nchini uendelee na kazi zako za Ubunge, vinginevyo Sitakitambua kama Mbunge " ha ha ha

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom