FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DUMB, CNN anaye handle political affairs ni Christine Amanpur ,Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Haya hongera naona ushaingiza buku saba yako hapo lumumba..Ndugu zangu,

kamanda imevuja, haendi tena, ni bora angeutumia huu muda kufanya ''mock interview'' kama ilivyopendekezwa na wadau humu.Ndugu watanzania wenzangu msisikilize porojo zozote kutoka kwa mtu mwenye haraka ya kunyonyesha mtoto mchanga , Ratiba ya ziara ya Mh Lissu imewekwa humu na Erythrocyte .
Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Lissu kaona ni rahisi sana kutembelea vyombo vya habari kuliko kutembelea wananchi wa Jimbo lake na watanzania tuliomuombea apone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maongezi yapo pale pale usiongope Umma
Poa Poasafi sana Lissu, anazidi kuwapeleka watu puta hawalali wanamuwaza yeye tu.
Hongera Lissu endelea kuanika maovu yao
mimi ninayejua kizungu sijaelewa ndio maana nawashangaa uvccm msiojua kizungu mnashangilia kuwa lissu kaumbukaKamanda wewe unayejua kizungu tuambie alizungumza nini?
Watanzania tumekuwa wajinga mno mpaka hatuwezi kutumia hata akili ya kawaida tu. Mgonjwa yeyote anakuwa amepona Dr wake akitamka hivyo siyo Ndugai wala Makonda. Safari za Lissu inaweza kuwa ni sehemu ya recuperation iliyoruhusiwa na Dr wake na kukubalika na anayegharamia. Kama serkali na bunge wangekuwa rafiki, angeweza kurudi na kwenda tena Belgium kliniki wakati wowote kama alivyopangiwa na Dr wake.Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Haha ha Wakudadavuwa aka NW michosho unalo hilo!Mzee unafeli sana
Richard Quest ni mtangazaji wa biashara CNN!
Sasa Tundu Lissu yeye ni habari za kisiasa,wapi na wapi wewe mduwanzi!?
Atamuhoji amuweke kwenye kipindi gani?Kipindi cha RQ ni cha siasa?
Mbuzi wa maziwa!
Na nyie kafanyeni media tour.Jimbo.
Ata hivyo hatuzungumzii matibabu, tunazungumzia media tour.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Pole zake ila Lisu is fit upstairs maana kwenye kujenga hoja kaonyesha kwenye hard talkNdugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Acha ujuaji Richard Quest ni Journalist na ameshajoji viongozi wengi wa kisiasa wakiwamo marais nk.Si mtangazaji (MC) ni mwanahabari (Journalist). ''Journalism is all round proffession"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha matusi yanaonesha ulsivyo na hoja, kwa hiyo hajui lingine zaidi ya siasa? au swali alilomuuliza Kenyatta kuwa utagombea mara ya tatu ni swali la kibiashara?nimyi mmewekwa mitandaoni kutukana watu na sio kujenga hoja.Wewe ni mbuzi!
Kahoji viongozi wa kidunia yes,kawahoji nini?Biashara tupu!
Eti all around profession,guess what,noooooo!
Kuna specialization,na RQ ka-specialize kwenye BN!
Acha umama wewe kirusi wa CCM!
CCM inawafanya mnapoteza akili kabisa!
What a waste!