Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #121
Kamanda jenga hoja badala ya ramliHuyo ni naibu waziri ati! Kutwa yupo humu na sijui majukumu yake kamwachia katibu wake au dereva naye anatosha! Hili malo litazamwe upya kama kuna haja ya kuwa na manaibu mawaziri katika nchi hii ili kuwapungizia makali ya maisha walipakodi kwani hawana umuhimu wowote na hata kazi zao hazieleweki! Waondolewe na pesa zinazowahudumia zifanye shughuli nyingine kwa wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app