Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

Wakudadavua, mimi ni mzee mwenzio, sio kijana kama unavyodhani, umekosea au niseme uzusha, kama hataenda atakuwa na sababu nyingine; ungesema alitaka akutane na Mrs. Christine Amanpour ningekuelewa. Acha uzushi, ni dhambi.
Kamanda unahamisha magoli,kwa hiyo Tundu Lissu kama mgombea urais hajui chochote kuhusu biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ni mzigo.

Quest si lazima uende US kufanya naye interview. Anaweza kumfuata TL huko huko Belgium.

Ya Uhuru walifanyia Nairobi.
 
Labda ahojiwe na "nyundo ya baruani"[emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona wewe ndo unataka kulazimisha tuamini unachokiamini . Sio kificho wala sio siri clips zote alizoongea Lissu zipo mitandaoni na hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima na busara zake anayekubaliana na porojo anazoongea . Sasa kwa suala la kwenda CCN na Al Jazeera ni kwenda kujizika kisiasa maana hakuna atakachoongea zaidi ya kudhihakiwa na hao wanamhoji .
 
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waumia nini sasa wewe. Ngoja aende Tuendelee kumuona mpendwa WA Wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…