Uchaguzi 2020 Imevuja: Jinsi CCM wanavyopanga kuihujumu CHADEMA

Kama wewe ni mwanachadema na umegundua mipango miovu kama hii unapaswa kujifunza kuwa wenzenu huwa hawalali usiku na mchana kuhakikisha wanawashinda kwenye uchaguzi.

Na ujifunze pia kuwa hizo ni baadhi tu ya mbinu chafu zinazotarajiwa kutumika.

Sasa yawapasa mjiandae vya kutosha kukabiliana na mbinu ovu kama hizo lakini pia nanyi kuweni na mipango madhubuti ya kuwaangusha ccm.

Kuja kulalamikia hapa jf hakutawasaidia.
 
Ungesema hayo ni mawazo yako; ingeleta maana zaidi; ili uwape na wengine uhuru wa kuchangia
Lakini nakumbuka Yesu Kristo aliwahi kusema kuwa WATU WANGU WANA ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
Hivi unawezaje kumpigia mtu kampeni ambaye hata hajapitishwa na chama chake?
 
Habar za muda huu ndugu wanabodi

Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot.Habar kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa ccm wamejipanga kukihujumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kufanya mambo ya aibu kama ifuatavyo;

1.Kuwanunua wagombea wa Chadema (hasa nafasi za ubunge na udiwani)
Hapa mchezo utakuwa hivi;wakati kampeni zikiwa zinaendelea baadhi ya wabunge wa Chadema hasa wale wenye ushawishi na wanaohisiwa kushinda uchaguzi watakuwa wananunuliwa kwa fedha cash na kuahidiwa vyeo baada ya uchaguzi.Hapa mgombea wa Chadema akiisha kununuliwa na kuahidiwa cheo au vyeo anajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ugombea na kuungana na ccm.Chadema kuweni makini sana na aina ya watu mtakaowateua kwenye nafasi tofautitofauti

2.Wagombea wa Chadema watakuwa wananyimwa vibali vya mikusanyiko kwa kigezo cha Corona,kutokuwepo kwa usalama na hata ikibidi watakuwa wanatumwa vijana wa ccm waliovaa sare za Chadema kufanya fujo na kuwakataa wagombea wa Chadema ili ionekane kuwa wanachama wa Chadema wanawakataa viongozi wao

3.Ccm wanapanga kuitumia Corona virus-2019 pamoja na Ushoga kwaajili ya kuichafua Chadema.Hapa mchezo upo hivi;

a) Ccm watawaambia Watanzania wasio na ufahamu ya kwamba "Chadema siyo watu wazuri,wakati serikali inapambana na Corona wao Chadema walitabiri kuwa Watanzania mtakufa kama kuku" kitu ambacho siyo kweli

b) Pia,ccm watawaaminisha Watanzania kuwa Chadema wana-support ushoga kitu ambacho siyo kweli kwa kuwa ccm wao ndyo anao-support ushoga kwa kuliingiza Taifa kwenye mikataba yenye masharti magumu likiwemo suala la kukubaliana na ushoga ili nchi ipate misaada

MWISHO,kataa ccm 2020 mwaga Pombe 2020 weka Tundu 2020 la kupitisha maendeleo ktk nyanja zote!

Hivi nyie chadema niwaulize.
Ccm wakitumia issue ya covid-19 kama hoja nadhani hilo halina ubishi.(msilalamike)

Pili swala la ushoga nalo nadhani mnajua mnao wabunge wawili wakike wanaosagana nalo (msilalamike)
Msilalamike, mlichelewa kuchukua hatu.
 
huyu mwamba Leo kaandika sredi

kweli ni "noma sanaa!"
 
Habar za muda huu ndugu wanabodi

Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot. Habari kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa CCM wamejipanga kukihujumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kufanya mambo ya aibu kama ifuatavyo;

1. Kuwanunua wagombea wa CHADEMA (hasa nafasi za Ubunge na Udiwani). Hapa mchezo utakuwa hivi; wakati kampeni zikiwa zinaendelea baadhi ya wabunge wa CHADEMA hasa wale wenye ushawishi na wanaohisiwa kushinda uchaguzi watakuwa wananunuliwa kwa fedha cash na kuahidiwa vyeo baada ya uchaguzi. Hapa mgombea wa CHADEMA akiisha kununuliwa na kuahidiwa cheo au vyeo anajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ugombea na kuungana na CCM. CHADEMA kuweni makini sana na aina ya watu mtakaowateua kwenye nafasi tofautitofauti

2. Wagombea wa CHADEMA watakuwa wananyimwa vibali vya mikusanyiko kwa kigezo cha Corona, kutokuwepo kwa usalama na hata ikibidi watakuwa wanatumwa vijana wa CCM waliovaa sare za CHADEMA kufanya fujo na kuwakataa wagombea wa CHADEMA ili ionekane kuwa wanachama wa CHADEMA wanawakataa viongozi wao

3. CCM wanapanga kuitumia Corona virus-2019 pamoja na Ushoga kwaajili ya kuichafua CHADEMA. Hapa mchezo upo hivi;

a) CCM watawaambia Watanzania wasio na ufahamu ya kwamba "CHADEMA siyo watu wazuri, wakati Serikali inapambana na Corona wao CHADEMA walitabiri kuwa Watanzania mtakufa kama kuku" kitu ambacho siyo kweli

b) Pia, CCM watawaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA wana-support ushoga kitu ambacho siyo kweli.

MWISHO, kataa CCM 2020 mwaga Pombe 2020 weka Tundu 2020 la kupitisha maendeleo ktk nyanja zote!
[/QUOTE
Mashoga yako ccm mmoja wao ni bashite ambaye amlishindwa kuzaa kwa kuwa mitaro ulishalegezwa na sitta mpaka kupelekea kupata mtoto kwa test tube.
 
Kinachoweza kuwa mkakati wa CCM katika list yako ni kimoja tu yaani:

2. Wagombea wa Chadema watakuwa wananyimwa vibali vya mikusanyiko kwa kigezo cha Corona,kutokuwepo kwa usalama na hata ikibidi watakuwa wanatumwa vijana wa ccm waliovaa sare za Chadema kufanya fujo na kuwakataa wagombea wa Chadema ili ionekane kuwa wanachama wa Chadema wanawakataa viongozi wao

Hayo mengine yooote tumejitakia wenyewe.

1. Kuhusu kununuliwa, waanzilishi wa kununuliwa ni Mwenyekiti na Lissu walipokubali kukiuza chama kwa CCM 2015. Sasa kama Mwenyekiti na makamu wake wananunulika utawalaumu makamanda huku chini?

3. Kuhusu Corona CCM hawahitaji mkakati wowote kwa sababu watanzania wote walijionea wenyewe CHADEMA walichokuwa wanakitaka kwenye mapambano ya Corona.

4. Kuhusu Ushoga tumlaumu Lissu kutupaka matope alipokuwa anahojiwa na Steve kwenye Hard Talk.

Labda kama CCM walimtumia Lissu kukichafua CHADEMA.
Tags jingine hili na mtanyooka tu mapunga nyinyi.
 
Habar za muda huu ndugu wanabodi

Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot. Habari kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa CCM wamejipanga kukihujumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kufanya mambo ya aibu kama ifuatavyo;

1. Kuwanunua wagombea wa CHADEMA (hasa nafasi za Ubunge na Udiwani). Hapa mchezo utakuwa hivi; wakati kampeni zikiwa zinaendelea baadhi ya wabunge wa CHADEMA hasa wale wenye ushawishi na wanaohisiwa kushinda uchaguzi watakuwa wananunuliwa kwa fedha cash na kuahidiwa vyeo baada ya uchaguzi. Hapa mgombea wa CHADEMA akiisha kununuliwa na kuahidiwa cheo au vyeo anajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ugombea na kuungana na CCM. CHADEMA kuweni makini sana na aina ya watu mtakaowateua kwenye nafasi tofautitofauti

2. Wagombea wa CHADEMA watakuwa wananyimwa vibali vya mikusanyiko kwa kigezo cha Corona, kutokuwepo kwa usalama na hata ikibidi watakuwa wanatumwa vijana wa CCM waliovaa sare za CHADEMA kufanya fujo na kuwakataa wagombea wa CHADEMA ili ionekane kuwa wanachama wa CHADEMA wanawakataa viongozi wao

3. CCM wanapanga kuitumia Corona virus-2019 pamoja na Ushoga kwaajili ya kuichafua CHADEMA. Hapa mchezo upo hivi;

a) CCM watawaambia Watanzania wasio na ufahamu ya kwamba "CHADEMA siyo watu wazuri, wakati Serikali inapambana na Corona wao CHADEMA walitabiri kuwa Watanzania mtakufa kama kuku" kitu ambacho siyo kweli

b) Pia, CCM watawaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA wana-support ushoga kitu ambacho siyo kweli.

MWISHO, kataa CCM 2020 mwaga Pombe 2020 weka Tundu 2020 la kupitisha maendeleo ktk nyanja zote!
kampeni yako ni ya kizamani sana enzi za Nuhu na Yakobo.CCM wana mtaji wa kutosha siyo hayo ya kijinga uliyoandika.
 
Pale Mpuuzi anapo walisha Upuuzi wapuuzi wenzie
hahaha
 
Kinachoweza kuwa mkakati wa CCM katika list yako ni kimoja tu yaani:

2. Wagombea wa Chadema watakuwa wananyimwa vibali vya mikusanyiko kwa kigezo cha Corona,kutokuwepo kwa usalama na hata ikibidi watakuwa wanatumwa vijana wa ccm waliovaa sare za Chadema kufanya fujo na kuwakataa wagombea wa Chadema ili ionekane kuwa wanachama wa Chadema wanawakataa viongozi wao

Hayo mengine yooote tumejitakia wenyewe.

1. Kuhusu kununuliwa, waanzilishi wa kununuliwa ni Mwenyekiti na Lissu walipokubali kukiuza chama kwa CCM 2015. Sasa kama Mwenyekiti na makamu wake wananunulika utawalaumu makamanda huku chini?

3. Kuhusu Corona CCM hawahitaji mkakati wowote kwa sababu watanzania wote walijionea wenyewe CHADEMA walichokuwa wanakitaka kwenye mapambano ya Corona.

4. Kuhusu Ushoga tumlaumu Lissu kutupaka matope alipokuwa anahojiwa na Steve kwenye Hard Talk.

Labda kama CCM walimtumia Lissu kukichafua CHADEMA.
IMG_20200623_152939.jpg
 
Habar za muda huu ndugu wanabodi

Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot. Habari kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa CCM wamejipanga kukihujumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kufanya mambo ya aibu kama ifuatavyo;

1. Kuwanunua wagombea wa CHADEMA (hasa nafasi za Ubunge na Udiwani). Hapa mchezo utakuwa hivi; wakati kampeni zikiwa zinaendelea baadhi ya wabunge wa CHADEMA hasa wale wenye ushawishi na wanaohisiwa kushinda uchaguzi watakuwa wananunuliwa kwa fedha cash na kuahidiwa vyeo baada ya uchaguzi. Hapa mgombea wa CHADEMA akiisha kununuliwa na kuahidiwa cheo au vyeo anajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ugombea na kuungana na CCM. CHADEMA kuweni makini sana na aina ya watu mtakaowateua kwenye nafasi tofautitofauti

2. Wagombea wa CHADEMA watakuwa wananyimwa vibali vya mikusanyiko kwa kigezo cha Corona, kutokuwepo kwa usalama na hata ikibidi watakuwa wanatumwa vijana wa CCM waliovaa sare za CHADEMA kufanya fujo na kuwakataa wagombea wa CHADEMA ili ionekane kuwa wanachama wa CHADEMA wanawakataa viongozi wao

3. CCM wanapanga kuitumia Corona virus-2019 pamoja na Ushoga kwaajili ya kuichafua CHADEMA. Hapa mchezo upo hivi;

a) CCM watawaambia Watanzania wasio na ufahamu ya kwamba "CHADEMA siyo watu wazuri, wakati Serikali inapambana na Corona wao CHADEMA walitabiri kuwa Watanzania mtakufa kama kuku" kitu ambacho siyo kweli

b) Pia, CCM watawaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA wana-support ushoga kitu ambacho siyo kweli.

MWISHO, kataa CCM 2020 mwaga Pombe 2020 weka Tundu 2020 la kupitisha maendeleo ktk nyanja zote!
Chadema wenyewe hao wachumia tumbo tu! Msituchoshe,kafieni mbele huko!
 
Back
Top Bottom