Uchaguzi 2020 Imevuja: Jinsi CCM wanavyopanga kuihujumu CHADEMA

Kama wewe ni mwanachadema na umegundua mipango miovu kama hii unapaswa kujifunza kuwa wenzenu huwa hawalali usiku na mchana kuhakikisha wanawashinda kwenye uchaguzi.

Na ujifunze pia kuwa hizo ni baadhi tu ya mbinu chafu zinazotarajiwa kutumika.

Sasa yawapasa mjiandae vya kutosha kukabiliana na mbinu ovu kama hizo lakini pia nanyi kuweni na mipango madhubuti ya kuwaangusha ccm.

Kuja kulalamikia hapa jf hakutawasaidia.
 
Ungesema hayo ni mawazo yako; ingeleta maana zaidi; ili uwape na wengine uhuru wa kuchangia
Lakini nakumbuka Yesu Kristo aliwahi kusema kuwa WATU WANGU WANA ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
Hivi unawezaje kumpigia mtu kampeni ambaye hata hajapitishwa na chama chake?
 

Hivi nyie chadema niwaulize.
Ccm wakitumia issue ya covid-19 kama hoja nadhani hilo halina ubishi.(msilalamike)

Pili swala la ushoga nalo nadhani mnajua mnao wabunge wawili wakike wanaosagana nalo (msilalamike)
Msilalamike, mlichelewa kuchukua hatu.
 
huyu mwamba Leo kaandika sredi

kweli ni "noma sanaa!"
 
 
Tags jingine hili na mtanyooka tu mapunga nyinyi.
 
kampeni yako ni ya kizamani sana enzi za Nuhu na Yakobo.CCM wana mtaji wa kutosha siyo hayo ya kijinga uliyoandika.
 
Pale Mpuuzi anapo walisha Upuuzi wapuuzi wenzie
hahaha
 
 
Chadema wenyewe hao wachumia tumbo tu! Msituchoshe,kafieni mbele huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…